Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema.
Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu.
Rushwa
Ufisadi
Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana
Kutowajibika kwa viongozi
Umasikini
Vifaa vya ujenzi kupanda bei
Utitili wa Tozo na kodi
Uzwaji wa mali ya za uma,kama bandari,ngorongoro
MB: fanyeni utafiti zaidi juu ya changamoto zidi ya wananchi, lakini toeni elimu zaidi kwa WANANCHI elimu ya kirai, kizalendo, na kuonesha maovu yote yanayofanywa na serikali, mzunguke nchi mzima wambieni wananchi ukweli kuwa ADUI namba moja wa taifa hili ni CHAMA cha ...........,
NB 2, watumieni vzr sana walimu na polisi ,wapeni elimu ya kizalendo watawasidie ktk kuleta mabadiliko ya fikra na mitizamo chanya .
Mungu ibariki Tanzania.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025