TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Antipasu alipoulizwa juu ya namna atakavyodhibiti Rushwa ndani ya Chadema alijibunkuwa ataiagiza Kamati kuu ishughulikie. Hakutoa majibu Hata kwa mujibu wa katiba ya Chadema, kuwa atakayekutwa na hatia atafanywa nini!!!Rushwa
Ufisadi
Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana
Kutowajibika kwa viongozi
Umasikini
Vifaa vya ujenzi kupanda bei
Utitili wa Tozo na kodi
Uzwaji wa mali ya za uma,kama bandari,ngorongoro
Kwa maneno mengine, Antipasu anajificha kwenye kauli ambazo hataki Baadaye abanwe kuhusu kutimiza ahadi....kwa kesi hii kawasukimizia Kamati Kuu ya Chadema!!!Kwa hiyo, Kuna udhahiri wa huyu ndugu Antipasu kuwa "liability" badala ya "Asset"