Pre GE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rushwa
Ufisadi
Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana
Kutowajibika kwa viongozi
Umasikini
Vifaa vya ujenzi kupanda bei
Utitili wa Tozo na kodi
Uzwaji wa mali ya za uma,kama bandari,ngorongoro
Antipasu alipoulizwa juu ya namna atakavyodhibiti Rushwa ndani ya Chadema alijibunkuwa ataiagiza Kamati kuu ishughulikie. Hakutoa majibu Hata kwa mujibu wa katiba ya Chadema, kuwa atakayekutwa na hatia atafanywa nini!!!

Kwa maneno mengine, Antipasu anajificha kwenye kauli ambazo hataki Baadaye abanwe kuhusu kutimiza ahadi....kwa kesi hii kawasukimizia Kamati Kuu ya Chadema!!!Kwa hiyo, Kuna udhahiri wa huyu ndugu Antipasu kuwa "liability" badala ya "Asset"
 
Zaidi ya kulalamika Katiba Mpya umewahi sikia hao watu Wana ajenda tofauti na hiyo?
 
Labda mamaako
 
Ngoja tusubili mkuu, mda utasema
 
Ukweli kabisa umeona mbali
 
Saizi inatakiwa waje na ajenda nzito haswa
Hawana Chama kimejaa wanasheria sana sana watakuja kulalamika kwamba Samia anauza mali za Tanganyika.

Kwa mtu mwenye akili anajua hao ni wapuuzi tuu.
 
Hawana Chama kimejaa wanasheria sana sana watakuja kulalamika kwamba Samia anauza mali za Tanganyika.

Kwa mtu mwenye akili anajua hao ni wapuuzi tuu.
Inaoneka wanasheria wanamisimamo imara ukilinganisha na kada zingine kama walimu, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…