UmeelewekaNimeizungumzia hio comfort zone sarcastically. Wapenda mabadiliko wapo ila wengi hawataki kulipa price ya kuleta mageuzi.
It includes the rulling party politicians.
Ni swala mda turudishe nchi mikononi mwa wananchiSasa hivi CHADEMA kiko kwenye mikono ya Wananchi wote wa Tanzania, never again siasa za kidalali.
Bado Taifa letu nalo tulitoe kutoka katika mikono ya kikundi cha watu wachache na tulirudishe kwa wananchi.
Haahhaaa hayo alianza kusema JPMUnaongelea hii chadema inayokufa au kuna ingine