Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,156
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.
Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.