CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.

Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)

KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.

Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kweli umeandika Gabeji kama lilivyo jina lako
 
Kuna watu walibisha kuwa Mbowe ndiye alikuwa nyuma ya G 55 lakini yote leo yamewekwa wazi. Ni kuwa wakati wa kampeni za Uenyekiti wa Chadema Mbowe aliomba fungu kubwa sana la fedha b12 ambazo alipewa za kuhakikisha Lissu hawi Mwenyekiti na asiwe mgombea wa Urais. Mwamba alishindwa kuitekeleza kazi hiyo licha ya kuwa alipewa mzigo wote ndiyo baada ya Lissu kuingia madarakani ndipo Mwamba akaja na plan B ya kuanzisha G 55 ili kuhalalisha matumizi ya ile 12 b.
 
Kitu ambacho wanatakiwa kuelewa binafsi mie hiyo mwita ndio nomemjua juzi.Hawana umuhimu wala ushawishi huoo..Yani wanajaribu kutaka kuonekana wana umuhim ila wapiii..ziiii..
Hiku mtaani ni furaha na shangwe
 
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.

Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)

KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.

Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
NI shangwe mitaa yoote, nchi imelipuka.

Kishindo cha Wakoma😀😀
 
nipende kukufahamisha mbowe ni Royal family, hakuingia kwenye siasa kinjaa njaa.

Baba yake Aikael alikuwa mtanzania wa kwanza mweusi kumiliki gari la kifahari sana Mercedez Benz, na alimpa Nyerere Benz,
Kwa hyo chadema walifaidi zaidi Mbowe kuliko Mbowe alivyofaidi Chadema
 
Sana.
Wengi tumepata amani. Na tunajua sasa Mbowe aliongoza chama cha aina gani
Nimachukia sana mtu kuudanganya umma huku anajinufaisha.
Wakati wa kampeni niliwahi kuuliza haya:
1. Kwanini Mbowe akodi chopa ya kuzunguka nchi nzima, jukwaa bora, vyombo vya muziki bora lakini Lissu hapewi hiyo chopa wala jukwaa bora japo ndiye anayejaza watu mikutanoni?

2. Kwanini Mbowe anapokea pesa kwa wadau kwa mgongo wa chama, akiziingiza kwenye chama anaingiza kama mkopo ma atazichukua na RIBA ruzuku ikitok?

3. Kwanini yeye Mbowe naada ya kutoka jela ndiye aliyepewa fidia na akaunti zake kufunguliwa wakafi Lissu aliuawa akafufuka na haki zake hakupewa?

Siku zimejibu maswali haya..
Mbowe nyang'au
 
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.

Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)

KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.

Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Lissu na genge lake wamedhamilia kuuwa CHADEMA
 
Back
Top Bottom