CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.

Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)

KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.

Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Wachaga na pesa damdam
 
Niliishatabiri kwamba this time next year HAKUTAKUWA na chama kinaitwa Chadema. Na utabiri unaendelea kujidhihirisha.
Wewe umetabiri tu, Jiwe ilifikia hatua ya kununua watu wa CHADEMA akiamini ataiua, lakini Mungu sio John wala Samia, akafa yeye.

Sasa wewe endelea na utabiri wako hewa ukisubiri matokeo hewa.
 
Hongera wewe kwakuwa uko Chadema HAUTAKUFA kama ilivyo kwa bibi ya bibi yako na bibi yako na babu wa babu yako na babu wako hai mpaka sasa hivi kwasababu wao sio kama Jiwe! Ahahahahaha!!
 
Niliishatabiri kwamba this time next year HAKUTAKUWA na chama kinaitwa Chadema. Na utabiri unaendelea kujidhihirisha.
Utabili wa kijinga huo ndio mnavyo farijiana huko subili mtauona moto
 
Ahahahahaha! Labda wa kufukuzana. Huo naukubali. Lakini wa kuiogopesha Serikali au CCM? Labda kwenye ndoto! Ahahahahaha!!
 
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.

Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)

KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.

Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Tapeli Mbowe na magenge yake wamejiabisha sana, miaka yote hii kumbe wamekuwa wakifanya biashara na CCM. Sasa tumepata upinzani wa kweli.
 
Tatizo kubwa la CCM ni kwamba wamekula mpaka wakavembewa wakasahau kuwa hata wananchi waliowaweka madarakani nao wanastahili kula na kushiba(kupata maisha bora)....Wamesahau ule msemo wa kula na kipofu(wananchi) ili uendelee kula daima huku na yeye akishiba.

Sasa litawakuta jambo.
 
Tafuteni kuponya majeraha ndani ya chama,mnajifariji na mitandaoni.Kwani mngekaa mkaombana samahani kungekuwa na shida.Huyo Mbowe angeendesha chama namna hii ingekuwaje,siku 70 mmeshafukuza kila anayebishana na nyie demokrasia mnayohubiri ni ipi!!?Ubabe haujawahi kuwa suluhu ya jambo lolote.
 
Hao G55 unajuwa wamefukuzwa na nani?
Chama kimeendeshwa namna gani hadi ulalamike hapa. Wewe ulitaka kiongozweje; kiende CCM kuwaomba msamaha kwa kufurumsha mamluki wao ndani ya CHADEMA?
 
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.

Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)

KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.

Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Hao chawa wa Mbowe bora waende zao watu achie chama chetu na Tundu Lissu wetu . Bora chama kibaki na wanachama wachache wasafi kuliko kuwa wachumia tumbo wa aina ya G55.
 
Lissu ni mwiba mkali Sana sio serikalini tu Bali hata kwa wapinzani wachumia tumbo, chuma ndani ya siku 60 tu ccm wakaomba poo baada ya kuanzia kumwaga elimu ya Uraia ndani ya Kanda 2 tu, wakambambikizis kesi feki Ili wapumue, Chadema chini ya mbowe waligeuza chama kama kikoba kwa mgongo wa mapambano ya haki...Lissu ni mkweli.Watanzania wanaopenda mabadiliko ya kweli tumuunge mkono
 
Hao chawa wa Mbowe bora waende zao watu achie chama chetu na Tundu Lissu wetu . Bora chama kibaki na wanachama wachache wasafi kuliko kuwa wachumia tumbo wa aina ya G55.
Kwao chama lazima watu wapate ubunge, udiwani nk hata watu watavunjwa miguu, kwa nn tusipiganie mabadiliko Ili watu waingie kwenye mapambano bila kumwaga damu? HawaG55 ,muda wote kukejeli viongozi halali hapana kwa kweli
 
Sasa hivi CHADEMA kiko kwenye mikono ya Wananchi wote wa Tanzania, never again siasa za kidalali.

Bado Taifa letu nalo tulitoe kutoka katika mikono ya kikundi cha watu wachache na tulirudishe kwa wananchi.
Jamaa wanaumia kwa nn mpaka watu wa kawaida wanaisemea chadema, nawashangaa Sana.Chama kinapaswa kuungwa mkono na umma wote
 
Back
Top Bottom