CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

Ahahahahaha! Labda wa kufukuzana. Huo naukubali. Lakini wa kuiogopesha Serikali au CCM? Labda kwenye ndoto! Ahahahahaha!!
Waulize ccm Kwa nn walitoa amri lissu awekee ndani kupitia kesi feki; chuma kilianza kuamsha watanzania nchi nzima.
 
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.

Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)

KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.

Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Chadema ni bahari haikai na uchafu,taka taka zote tupa kuleeeee 👉
 
Watu walishasema kitambo kuwa Chadema si chama pinzani, wale ni wasanii tu wanaocheza na akili za watanzania wasiojitambua. Mbowe ni kuwadi wa CCM, amekula sana hela za chama yeye na makuwadi wenzake ambao ndiyo hawa G55. Chini ya Lissu ndipo Chadema kitakuwa chama cha ukweli cha upinzani na ndiyo maana CCM inamfanyia madudu ili tu imtie nguvuni na kusambaratisha chama. In short, CCM hawataki upinzani kwa sababu hawataki nchi iendelee.
 
Mu

Mungu ibariki CCm
Mungu mbariki Samia aongoze mitano tena
 
Timé will tell.
 
Mtakuwa mnajifarijo hivyo hivyo siku zonaenda na maisha uanasonga mnaambulia nothing
 
Chadema ilijaa wahuni aisee , kweli Mungu yupo kazini, kuna mambo Bwana Msiba hua anaongea ,pamoja na ujinga mwingi ila kuna vitu vya msingi sana hupitia kwenye ujinga ule
 
Mambo ni mengi yapo chini ya kapeti, tutajua
 
Watu walishasema kitambo kuwa Chadema si chama pinzani, wale ni wasanii tu wanaocheza na akili za watanzania wasiojitambua. Mbowe ni kuwadi wa CCM, amekula sana hela za chama yeye na makuwadi wenzake ambao ndiyo hawa G55. Chini ya Lissu ndipo Chadema kitakuwa chama cha ukweli cha upinzani na ndiyo maana CCM inamfanyia madudu ili tu imtie nguvuni na kusambaratisha chama. In short, CCM hawataki upinzani kwa sababu hawataki nchi iendelee.
Umeona vema, na huu ndiyo ukweli wenyewe.
 
Sasa hivi CHADEMA kiko kwenye mikono ya Wananchi wote wa Tanzania, never again siasa za kidalali.

Bado Taifa letu nalo tulitoe kutoka katika mikono ya kikundi cha watu wachache na tulirudishe kwa wananchi.
Hapa wananchi tukipata support kidogo tu kutoka kwa wenye mabaka nchi inakombolewa haraka sana. Watz wengi tunateseka sana na hivi vikundi vya wachache wasiokuwa wazalendo, ndiyo maana taifa haliendelei ni watu wana njaa kila kona isipokuwa wachache wanaogawana keki ya taifa
 
Back
Top Bottom