Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 May 12, 2025 #161 Lissu ameandika ukurasa mpya wa siasa za ukweli Tanzania
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,756 Reaction score 6,294 May 13, 2025 #162 Extrovert said: Nimeizungumzia hio comfort zone sarcastically. Wapenda mabadiliko wapo ila wengi hawataki kulipa price ya kuleta mageuzi. It includes the rulling party politicians. Click to expand... Umeeleweka
Extrovert said: Nimeizungumzia hio comfort zone sarcastically. Wapenda mabadiliko wapo ila wengi hawataki kulipa price ya kuleta mageuzi. It includes the rulling party politicians. Click to expand... Umeeleweka
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 May 13, 2025 #163 Your browser is not able to display this video.
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,174 Reaction score 3,156 May 13, 2025 Thread starter #164 imhotep said: Sasa hivi CHADEMA kiko kwenye mikono ya Wananchi wote wa Tanzania, never again siasa za kidalali. Bado Taifa letu nalo tulitoe kutoka katika mikono ya kikundi cha watu wachache na tulirudishe kwa wananchi. Click to expand... Ni swala mda turudishe nchi mikononi mwa wananchi
imhotep said: Sasa hivi CHADEMA kiko kwenye mikono ya Wananchi wote wa Tanzania, never again siasa za kidalali. Bado Taifa letu nalo tulitoe kutoka katika mikono ya kikundi cha watu wachache na tulirudishe kwa wananchi. Click to expand... Ni swala mda turudishe nchi mikononi mwa wananchi
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 May 14, 2025 #165 Kwa sasa chadema ni chama Cha kitaifa baada ya ccm...
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 May 14, 2025 #166 Jini Kisiranii said: Unaongelea hii chadema inayokufa au kuna ingine Click to expand... Haahhaaa hayo alianza kusema JPM
Jini Kisiranii said: Unaongelea hii chadema inayokufa au kuna ingine Click to expand... Haahhaaa hayo alianza kusema JPM