Tetesi: CHADEMA chini ya Uongozi wa Lissu washindwa kuchangisha 180 million kwaajili ya uzinduzi wa mikutano nchi nzima

Wewe jamaa nilikuwa nakupa heshima ya bure. Kumbe you are that much low politically. Sikutegemea una mambo ya Kiuchawa hivi. Tatizo lilianza pale ulipoacha kuishabikia Arsenal. Huenda.
 
Nilisema kable ya uchaguzi kuwa itakapofika April watu wengi watamtafuta Mbowe yupo wapi na kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa.
Walimtuma Katibu Mkuu Mikocheni kuomba kuonana na Mbowe na kufanya mkutano wa pamoja.

Familia ikawajibu FAM anapumzika siasa na atasafiri nje ya nchi.

Ahadi ya Lissu kwamba atapeleka fedha mikoani nayo imeshindwa kutimizwa wajumbe wanahaha hawaoni mzigo ukishushwa chini.

Ikumbukwe Chama kinapata 107 Million kila mwezi ukiweka gharama za uendeshaji Makao Makuu labda kila Mkoa ungepata 2 million.
 
DJ alishashindwa uchaguzi. Tulieni mzoee. Zamani ulionekana mwanachadema kindakindaki kumbe mpambe wa DJ. Nakala kwa Arushaone, Erythrocyte, Chakaza, Mshana Jr, Salary Slip,
 
kama chadema ikikosa jimbo hata moja 2025
manake wawotopata ruzuku hapa ndipo mwanzo wa kifo cha chadema
Hujui chochote.
Huelewi kabisa namna ruzuku zinavyopatikana.
Sio lazima uandike kila kitu.
Tulia usome kwanza katiba.
 
TANGU LINI MNYATURU AKAWA NA NYOT YA HELA?HIYO ILIKUWA KAZI YA MBOWE SASA ATAHENYA WATU WAMEGOMA KUCHANGA SASA HIVI UTAMSIKIA YUKO UBERIGIJI
 
BIla shaka wewe ni wale akina mama wambeya wasio na faida kwa yeyote.

I
Aliyekutuma kumchafua Lisu, bila shaka naye hana akili. Mtu mwenye akili hata akiwa ana dhamira mbaya, huwatafuta wenye akili ili kutimiza hiyodhamira yake mbaya, hata inakuwa vigumu kutambua. Haiwi wazi kama hii ya kwako.
 
Hiyo taarifa haina ukweli.
 
Sio ajabu kukwama kwa Lissu kupata pesa. Mbowe alifanya chama mali yake na alipewa ufadhili wa moja kwa moja kutoka serikalini ili kuigiza upinzani.

Kutoka kwa Mbowe chamani kunamaanisha kuondoka kwa support ya serikali kifedha CHADEMA.
Na hilo ni jambo jema sana. Ni heri chama kufa kuliko kutegemea influence ya mtu mmoja.
 
Nilisema kable ya uchaguzi kuwa itakapofika April watu wengi watamtafuta Mbowe yupo wapi na kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa.
Utamtafuta wewe unayeshibia mezani kwake. Yaani bado mnaomboleza tu nyie kunguni wa Mbowe?³
 
Joyce Mukya kubali tu matokeo
 
Wewe mpuuzi kabisa.

Lissu hata kuanza kuchangisha hajaanza. Umeona wapii hata Lissu anawaomba wanachama wachangie?

Subiri kazi ianze mpaja mtanyooka na mauongo yenu.

You are a bad loser bro!
 
Ni kama vile kusema kuwa ccm au Rais aliyepo madarakani anajenga hospitali kwa fedha yake au fedha za ccm.

Wabunge walikuwa wanakatwa asilimia ya mishahara yao na fedha hizo anabaki nazo Mbowe ili baadae aje kusema kama hivi kuwa alikuwa anatumia fedha zake mwenyewe
 
Ni sawa na watoto, wanakuta chakula mezani hawajui baba kahangaikaje kukipata. Ndio Lissu alikuwa anyone Mbowe anasaka fedha huku na kule, yeye akawa anamdhihaki.

Na huu muda wa uchaguzi serikali iongeze makali kudhibiti fedha kutoka nje ya nchi
 
Dah! Kama ni hivyo basi Chadema Ina wakati mgumu hapo Oktoba
 
Hata ccm kama hakina serikali na hakina wabunge watakuwa kama walivyo chadema sasa hivi

Vyama vya upinzani havina ela

Mbowe alikuwa anatoa Hela zake
 
Nilisema kable ya uchaguzi kuwa itakapofika April watu wengi watamtafuta Mbowe yupo wapi na kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa.
Walimtuma Katibu Mkuu Mikocheni kuomba kuonana na Mbowe na kufanya mkutano wa pamoja.

Familia ikawajibu FAM anapumzika siasa na atasafiri nje ya nchi.

Ahadi ya Lissu kwamba atapeleka fedha mikoani nayo imeshindwa kutimizwa wajumbe wanahaha hawaoni mzigo ukishushwa chini.

Ikumbukwe Chama kinapata 107 Million kila mwezi ukiweka gharama za uendeshaji Makao Makuu labda kila Mkoa ungepata 2 million.
Wewe mpuuzi kabisa.

Lissu hata kuanza kuchangisha hajaanza. Umeona wapii hata Lissu anawaomba wanachama wachangie?

Subiri kazi ianze mpaja mtanyooka na mauongo yenu.

You are a bad loser bro!
Sawa lakini Lissu na team yake wanaweza kufanya mkutano mmoja tu.
 
Uharo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…