CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

Ningependa Sana nione wanavyoandamana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chadema bhana yule jaruo amefanya mkutano kwenye mtandao wa space watu 6000 wamejoin leo Mbowe yupo Kwenye kanyampasira hakuna hata Kamanda mmoja aliyejitokeza wamebaki kubweka mitandaoni na Fake ID

Narudia tena hakuna Mtanganyika yeyote anaeweza kujitokeza kuandamana hakuna bakini kubweka mitandaoni huku mmewasha VPN πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanatishia kujamba tu hao, ilhali wakijua kua wanaumwa tumbo la kuhara.
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli
 
Ningependa Sana nione wanavyoandamana
wataandamana kwenye mitandao.
tabu ya viongozi wetu wa chadema hawataki kubadilika, kipindi cha awamu ya tano walitulia tulii baada ya JPM kutoa amri japo ilipingwa vikali lkn Rais alisimamia.
sasa leo hii awamu ya 6 Rais katoa tamko kuwa kwa sasa katiba mpya tusubiri lkn viongozi wa chadema wamekaidi na kuendelea kuhamasisha maandamano na vurugu, sasa kweli waachwe tu wajifanyie wanavyo taka kanakwamba hii nchi haina Rais!!? hapana lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…