CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

Rais kambeleleza sana Mbowe anataka anasema ndiyo lifuatwe sasa hivi atajua Amiri Jeshi ni nani ni msimu sasa makamanda kulia lia.
 
Rais, Samia kawadekeza sana Chadema sasa hivi watatia akili.
 
Katiba haikweoeki ila mama buana anaupiga mwingi sana
 
IMG-20210722-WA0113.jpg


IMG-20210722-WA0114.jpg
 
Sio lazima uandike,huo ni uoga na undezi,kama kweli unakucha zilizotimia,pumbu mbili unazo na miguu na mikono unayo basi nenda pale Azikiwe street kademke na vijana wa Murilo.
 
Kama watu walishindwa kuandamana kipindi kile cha uchaguzi sidhani Kama kutakuwa na maandamano yoyote, ngoja tuone
 
Wadanganyika Nyerere aliwapa utulivu wala usiwaze kuandamana au kufanya vurugu hapa siyo Kenya ndugu kula ugali ulale tetea familia yako na wewe mwenyewe wadanganyika achana nao
 
Niliandika nia yangu ya kuiburuza serikali mahakamani kufikia 19/7/2021 juu ya swala la kodi ya miamala ya simu ambapo ilipelekea watu wengi wa system kunipigia simu na kuomba nisifanye hivyo maana ule ulikuwa mchezo tu na watarekebisha soon.
Nilikataa kuamini hadi pale kigogo moja toka wizara ya fedha aliponipigia saa 2:30 asubuhi ya 19/7/2021 nilipokuwa najiandaa kuingia Mahakamani.
Niliahirisha kwa mda nione utekelezaji wake.
Nashukuru kwa hilo

Leo ninalo jipya nalo ni hili la kukamata kamata watu hasa wapinzani hovyo.
Hili sitasema nini nafanya ila kutakuwa na surprise kubwa kwa wale wa kaazi wa mbeya ikifika saa 6 kesho mwamba hajatoka njooni muone surprise mafiati kwenye mataa na pakage ndogo pale kabwe sokoni

Wale wa dodoma njooni Nyerere square
Wale wa dsm tukutane Posta

Nimeandaa package kwa wanaoihujumu hii nchi

Ila najua sikio la kufaa halisikiiagi dawa
Acha mikwara mbuzi wewe...
 
Back
Top Bottom