CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

aisee Kumbe Mbowe na kundi lake walikuwa watu hatari kiasi hiki!!!
yaani ni zaidi ya Majambazi, yaaani wanapanga njama za kuuuwa watu! duh! aisee hawa watu hawafai kabisaaa!! sio binaadamu.
tena tunaomba Jeshi letu la polisi wakamate mtandao wao wote maaana hawa ndio wanao hatarisha usalama wa raia
 
UJUMBE kwa Jeshi la Polisi

Tusije kulaumiana kesho tukijaza watu mitaani. Yani ni maandamano bila kikomo nchi nzima kuanzia mitaani, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa; maandamano hayatasimama hadi Mwenyekiti aachiwe!


Ngoja tusubiri tuone battle la.makamanda wa Bavicha na Polisi.

Pro-Chadema JF najua nyie siku zote maandamano yenu mnafanyia humu humu.

Pia kule Twitter wao watafanya kwa njia ya Space.
Hata huko south walijalibu lakini zuma bado ymo magereza.
Sanasaana wengine wamepoteza maisha na hayatarudi.
Sasa kesho mjalibi muone cha moto.
 
Sasa tunaye dictator katika maumbile ya kike ngoja tumlilie Mungu wetu manake aishatenda muujiza mkubwa juzi kati tuu.
Akiondoka huyu Mama anachukua Mipango, huyo sasa ni nafuu hata ya JPM, kauzu kweli kweli
 
Watanzania wa sasa walivyo weledi hayo maandamano mtaandamana peke yenu. Au mtaandamia kwenye social media..!
Nchi hii JPM alishaibadilishaga kitambo sio kama ile ya enzi za JK
 
Back
Top Bottom