CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

Niliandika nia yangu ya kuiburuza serikali mahakamani kufikia 19/7/2021 juu ya swala la kodi ya miamala ya simu ambapo ilipelekea watu wengi wa system kunipigia simu na kuomba nisifanye hivyo maana ule ulikuwa mchezo tu na watarekebisha soon.

Nilikataa kuamini hadi pale kigogo moja toka wizara ya fedha aliponipigia saa 2:30 asubuhi ya 19/7/2021 nilipokuwa najiandaa kuingia Mahakamani.

Niliahirisha kwa mda nione utekelezaji wake.
Nashukuru kwa hilo

Leo ninalo jipya nalo ni hili la kukamata kamata watu hasa wapinzani hovyo. Hili sitasema nini nafanya ila kutakuwa na surprise kubwa kwa wale wa kaazi wa mbeya ikifika saa 6 kesho mwamba hajatoka njooni muone surprise mafiati kwenye mataa na pakage ndogo pale kabwe sokoni

Wale wa Dodoma njooni Nyerere square
Wale wa DSM tukutane Posta

Nimeandaa package kwa wanaoihujumu hii nchi

Ila najua sikio la kufaa halisikiiagi dawa
Ngoja nisubir nione😂😂😂
 
giphy (3).gif

Uonevu sijui utaisha lini
 
Yalishindwa ya ukuta na Mbowe mwenyewe akiwepo.
Ya bwana yule wa Ubelgiji yalibuma
Nyie ndo mtaweza?labda maandamano ya JF,tofauti na happy mnatafuta kilichokunja mkia wa mbwa.
 
Makamanda mbuzi mkowapi Jamani?
So tulielewana Leo tuandamane DJ wasipomtoa mpk 12 jioni Jana.?
Nipo hapa ofisi za ABC nawasubiria,au bado mnakunywa chai kwanza.
Vijana wa ufipa ni maboga kabisa😃😃
Usinitafutie Ban sikujui hunijui
 
Nafikiri muroto Arudi kazini kwa leo tu[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chadema bhana yule jaruo amefanya mkutano kwenye mtandao wa space watu 6000 wamejoin leo Mbowe yupo Kwenye kanyampasira hakuna hata Kamanda mmoja aliyejitokeza wamebaki kubweka mitandaoni na Fake ID

Narudia tena hakuna Mtanganyika yeyote anaeweza kujitokeza kuandamana hakuna bakini kubweka mitandaoni huku mmewasha VPN [emoji23][emoji23]
Huyo hakufuata ijaluoni kafuata huko
Ndoma unaona tabia zake hazifani za kijaluo
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho wataitisha maandamano bila kikomo mpaka pale Mwenyekiti atakapoachiwa.

#MillardAyoUPDATES
Wameshaanza maandamano?
 
Back
Top Bottom