CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho wataitisha maandamano bila kikomo mpaka pale Mwenyekiti atakapoachiwa.

#MillardAyoUPDATES
 
#MillardAyoUPDATES https://t.co/44zS5iooq7
Maza ameharibu nchi mapema sn
 
UJUMBE kwa Jeshi la Polisi

Tusije kulaumiana kesho tukijaza watu mitaani. Yani ni maandamano bila kikomo nchi nzima kuanzia mitaani, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa; maandamano hayatasimama hadi Mwenyekiti aachiwe!

Ngoja tusubiri tuone battle la.makamanda wa Bavicha na Polisi.

Pro-Chadema JF najua nyie siku zote maandamano yenu mnafanyia humu humu.

Pia kule Twitter wao watafanya kwa njia ya Space.
 
Niliandika nia yangu ya kuiburuza serikali mahakamani kufikia 19/7/2021 juu ya swala la kodi ya miamala ya simu ambapo ilipelekea watu wengi wa system kunipigia simu na kuomba nisifanye hivyo maana ule ulikuwa mchezo tu na watarekebisha soon.

Nilikataa kuamini hadi pale kigogo moja toka wizara ya fedha aliponipigia saa 2:30 asubuhi ya 19/7/2021 nilipokuwa najiandaa kuingia Mahakamani.

Niliahirisha kwa mda nione utekelezaji wake.
Nashukuru kwa hilo

Leo ninalo jipya nalo ni hili la kukamata kamata watu hasa wapinzani hovyo. Hili sitasema nini nafanya ila kutakuwa na surprise kubwa kwa wale wa kaazi wa mbeya ikifika saa 6 kesho mwamba hajatoka njooni muone surprise mafiati kwenye mataa na pakage ndogo pale kabwe sokoni

Wale wa Dodoma njooni Nyerere square
Wale wa DSM tukutane Posta

Nimeandaa package kwa wanaoihujumu hii nchi

Ila najua sikio la kufaa halisikiiagi dawa
 
Back
Top Bottom