CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama

2. Punguzeni Vitisho

3. Punguzeni Matusi

4. Punguzeni Mikakati ya Fujo

5. Punguzeni Kuhamasishana

6. Punguzeni Kukamia Kukomoa

7. Punguzeni Propaganda za hovyo

8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno

9. Punguzeni kuwa na Viherehere

10. Punguzeni kulalamika bila Hoja

11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi

Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.

Msije kusema hamkushauriwa sawa?
Tuko kinyume na yote hayo uliyotunga. "We are not that low".
 
Eti punguzeni matusi!

Chadema sio vichaa.
 
Waziri mdogo wa mambo ya siasa wa nchini Marekani ,Ms Victoria Nuland alikuja hapa Tanzania.....akaongea pia na CHADEMA.....

Mazungumzo yake na VoA kuhusu MH.RAIS SSH KUKUTANA na Chadema yalikuwa haya:

Kuhusu siasa za kambi tofauti ni ngumu hata kwetu....ni ngumu unaona Rais Joe Biden anavyopambana kushirikisha makundi yote bungeni ila bado tu anapata ukinzani"....

Hapa unapata funzo moja tu kuwa UNAMLAZIMISHAJE MWENYE MADARAKA kwa sauti zenye KEDI ,kebehi na dhihaka?!!!

Waziri wa Marekani ametukumbusha hilo....amewakumbusha pia Chadema......

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Nilipoona wamempandisha MDUDE CHADEMA siku 3 baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya kule Mbeya na mitusi aliyoanza kumtukana Mama pale Barracuda Tabata na Mbowe yuko palepale wala asimchukulie hatua, ndipo nikajuwa CHADEMA haina uongozi.

Kweli Mwendazake aliiba kura mwaka 2020, ila hata asingeiba then CHADEMA ingeshinda, TUNGEPOTEA kama Taifa, hawana viongozi bali wana ACTIVISTS na Ring leaders.

CHADEMA wamekosa wataalamu wa mikakati ya siasa ambao wangwwawekea roadmap ya namna ya ku deal na Rais SSH. Nauona mwisho wao hauko

Unazungumziaje ile siku ya kampeni ya 2015 mbele ya Magufuli, mbunge msukuma akisema Lowassa kajinyea huku Magufuli akicheka? Ile ndio dalili ya uongozi ambayo Mbowe kaikosa?
 
1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama

2. Punguzeni Vitisho

3. Punguzeni Matusi

4. Punguzeni Mikakati ya Fujo

5. Punguzeni Kuhamasishana

6. Punguzeni Kukamia Kukomoa

7. Punguzeni Propaganda za hovyo

8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno

9. Punguzeni kuwa na Viherehere

10. Punguzeni kulalamika bila Hoja

11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi

Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.

Msije kusema hamkushauriwa sawa?
Na wabadilishe mawakili,watoe wa CHADEMA,waweke wa Serikali. Soon anatoka. Ref.kesi ya Manji,katoa Kibatala,kaweka mpya,out.
 
Unazungumziaje ile siku ya kampeni ya 2015 mbele ya Magufuli, mbunge msukuma akisema Lowassa kajinyea huku Magufuli akicheka? Ile ndio dalili ya uongozi ambayo Mbowe kaikosa?
With due respect tindo siungi mkono matusi aliyotukanwa Lowassa na Msukuma. Lakini wahenga wanasema "Two wrongs do not make one right"

Tukubaliane tu Mbowe na Lissu walikosea kumu approach Samia. Walimchukulia tu kama mwanamke fulani wakasahau kuwa state apparatus ipo macho.

Mbowe anaishi nyumba ya vioo, hakupaswa kutupa mawe kwa walio nje. Wanamuona nao wamtupia.
 
rais wa nchi kweli afanyia maamuzi kuendana na maneno ya wahuni kama kina mdude. Huyo rais atakuwa na uwezo mdogo Sana. Kama rais anaweza kufanyia kazi maneno ya wahuni kama kina mdude, mbona hafanyii kazi malalamiko ya tozo?
 
Sijasema anafanyia maamuzi kwa mameno ya Mdude bali nimepima hekima na busara ambayo viongozi wa CDM waliyokuwa nayo baada ya ile kauli ya Mdude.

Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi".

Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri nijenge uchumi.

Duniani tunaishi kwa win- win situation. Kama Samia ameduta kesi za kubambikiza, Mahakama zimeanza kutenda haki, akaunti za Mbowe zimefunguliwa, uhuru wa maoni umeruhisiwa na hatua za kudhibiti COVID-19 zimeanza kuchukuliwa, hiyo ni WIN kwa CDM. Nilitegemea naye Rais SSH WIN yake iwe kusikiluzwa aliposema nataka nijenge uchumi kwanza.

On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA??

It doesn't add up to me kwamba kati ya Mbowe na Lissu kuna mwenye ukomavu wa kuwa Rais wa Tz
 
Sina tatizo kabisa na hii hoja yako maana inaushawishi mwingi ndani yake. Je viashiria vya uchumi kukua ili katiba mpya ipatikane rais alivisema? Muda specific wa kuipata hiyo katiba aliusema? Na ww kwa dhamira ya moyo wako, unaamini kabisa rais huyu anaweza kupandisha uchumi mpaka aruhusu katiba mpya kupatikana?

Hilo la Mbowe na Lisu kuwa marais, kwa mtazamo wangu mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa nchi hii. Kazi ambayo Magufuli na JK wameweza kuna mtu atashindwa kazi hiyo? Kwa katiba hii labda kama hutaki kuwa rais, lakini hakuna uwezekano wa kushindwa hiyo kazi. Zungumzia jambo jingine, lakini sio uwezekano wa mtu kuwa rais wa nchi hii.
 
With due respect tindo siungi mkono matusi aliyotukanwa Lowassa na Msukuma. Lakini wahenga wanasema "Two wrongs do not make one right"

Tukubaliane tu Mbowe na Lissu walikosea kumu approach Samia. Walimchukulia tu kama mwanamke fulani wakasahau kuwa state apparatus ipo macho.

Mbowe anaishi nyumba ya vioo, hakupaswa kutupa mawe kwa walio nje. Wanamuona nao wamtupia.
Yaani nyingi ujinga wenu ni kuona dola ndio itumike kupambana na wapinzani na sio kujibu hoja kwa hoja.

Ni wajinga sana nyie.
 
1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama

2. Punguzeni Vitisho

3. Punguzeni Matusi

4. Punguzeni Mikakati ya Fujo

5. Punguzeni Kuhamasishana

6. Punguzeni Kukamia Kukomoa

7. Punguzeni Propaganda za hovyo

8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno

9. Punguzeni kuwa na Viherehere

10. Punguzeni kulalamika bila Hoja

11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi

Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.

Msije kusema hamkushauriwa sawa?
Acha ujinga huu.
 
Back
Top Bottom