n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Tulia dawa iingie vizuriJinga kabisa, unadhani upo salama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa iingie vizuriJinga kabisa, unadhani upo salama?
Tuko kinyume na yote hayo uliyotunga. "We are not that low".1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama
2. Punguzeni Vitisho
3. Punguzeni Matusi
4. Punguzeni Mikakati ya Fujo
5. Punguzeni Kuhamasishana
6. Punguzeni Kukamia Kukomoa
7. Punguzeni Propaganda za hovyo
8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno
9. Punguzeni kuwa na Viherehere
10. Punguzeni kulalamika bila Hoja
11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi
Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.
Msije kusema hamkushauriwa sawa?
Kwan jiwe si amesha fariki mkuu au ndo umekalili kila rais anaitwa jiweIkiwa dola la kirumi lilishindwa sembuse dola la jiwe?
Hii serikali bado inaongozwa na kivuli cha jiweKwan jiwe si amesha fariki mkuu au ndo umekalili kila rais anaitwa jiwe
Wote tunaipata freshTulia dawa iingie vizuri
Kwa msaada wa mabalozi wa umoja wa ulaya ,marekani ,uingereza, Sweden,mkuu hao watu hawashahuriki!
wanafikiri wanaweza kuishinda dola
Nilipoona wamempandisha MDUDE CHADEMA siku 3 baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya kule Mbeya na mitusi aliyoanza kumtukana Mama pale Barracuda Tabata na Mbowe yuko palepale wala asimchukulie hatua, ndipo nikajuwa CHADEMA haina uongozi.
Kweli Mwendazake aliiba kura mwaka 2020, ila hata asingeiba then CHADEMA ingeshinda, TUNGEPOTEA kama Taifa, hawana viongozi bali wana ACTIVISTS na Ring leaders.
CHADEMA wamekosa wataalamu wa mikakati ya siasa ambao wangwwawekea roadmap ya namna ya ku deal na Rais SSH. Nauona mwisho wao hauko
Anayekufa kishujaa au kijinga wote huoza na kuwa msosi kwa mchwa.Atakufa kishujaa lakini siyo kufa kijinga kama alivyokufa dikteta wenu
Mmoja ataacha heshima kubwaAnayekufa kishujaa au kijinga wote huoza na kuwa msosi kwa mchwa.
Na wabadilishe mawakili,watoe wa CHADEMA,waweke wa Serikali. Soon anatoka. Ref.kesi ya Manji,katoa Kibatala,kaweka mpya,out.1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama
2. Punguzeni Vitisho
3. Punguzeni Matusi
4. Punguzeni Mikakati ya Fujo
5. Punguzeni Kuhamasishana
6. Punguzeni Kukamia Kukomoa
7. Punguzeni Propaganda za hovyo
8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno
9. Punguzeni kuwa na Viherehere
10. Punguzeni kulalamika bila Hoja
11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi
Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.
Msije kusema hamkushauriwa sawa?
With due respect tindo siungi mkono matusi aliyotukanwa Lowassa na Msukuma. Lakini wahenga wanasema "Two wrongs do not make one right"Unazungumziaje ile siku ya kampeni ya 2015 mbele ya Magufuli, mbunge msukuma akisema Lowassa kajinyea huku Magufuli akicheka? Ile ndio dalili ya uongozi ambayo Mbowe kaikosa?
With due respect tindo siungi mkono matusi aliyotukanwa Lowassa na Msukuma. Lakini wahenga wanasema "Two wrongs do not make one right"
Tukubaliane tu Mbowe na Lissu walikosea kumu approach Samia. Walimchukulia tu kama mwanamke fulani wakasahau kuwa state apparatus ipo macho.
Mbowe anaishi nyumba ya vioo, hakupaswa kutupa mawe kwa walio nje. Wanamuona nao wamtupia.
Sijasema anafanyia maamuzi kwa mameno ya Mdude bali nimepima hekima na busara ambayo viongozi wa CDM waliyokuwa nayo baada ya ile kauli ya Mdude.rais wa nchi kweli afanyia maamuzi kuendana na maneno ya wahuni kama kina mdude. Huyo rais atakuwa na uwezo mdogo Sana. Kama rais anaweza kufanyia kazi maneno ya wahuni kama kina mdude, mbona hafanyii kazi malalamiko ya tozo?
Sijasema anafanyia maamuzi kwa mameno ya Mdude bali nimepima hekima na busara ambayo viongozi wa CDM waliyokuwa nayo baada ya ile kauli ya Mdude.
Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi".
Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri nijenge uchumi.
Duniani tunaishi kwa win- win situation. Kama Samia ameduta kesi za kubambikiza, Mahakama zimeanza kutenda haki, akaunti za Mbowe zimefunguliwa, uhuru wa maoni umeruhisiwa na hatua za kudhibiti COVID-19 zimeanza kuchukuliwa, hiyo ni WIN kwa CDM. Nilitegemea naye Rais SSH WIN yake iwe kusikiluzwa aliposema nataka nijenge uchumi kwanza.
On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA??
It doesn't add up to me kwamba kati ya Mbowe na Lissu kuna mwenye ukomavu wa kuwa Rais wa Tz
Yaani nyingi ujinga wenu ni kuona dola ndio itumike kupambana na wapinzani na sio kujibu hoja kwa hoja.With due respect tindo siungi mkono matusi aliyotukanwa Lowassa na Msukuma. Lakini wahenga wanasema "Two wrongs do not make one right"
Tukubaliane tu Mbowe na Lissu walikosea kumu approach Samia. Walimchukulia tu kama mwanamke fulani wakasahau kuwa state apparatus ipo macho.
Mbowe anaishi nyumba ya vioo, hakupaswa kutupa mawe kwa walio nje. Wanamuona nao wamtupia.
Acha ujinga huu.1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama
2. Punguzeni Vitisho
3. Punguzeni Matusi
4. Punguzeni Mikakati ya Fujo
5. Punguzeni Kuhamasishana
6. Punguzeni Kukamia Kukomoa
7. Punguzeni Propaganda za hovyo
8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno
9. Punguzeni kuwa na Viherehere
10. Punguzeni kulalamika bila Hoja
11. Punguzeni kutaka kujifanya mna Haki kuliko wengine na Sheria za nchi
Msipoyafanyia Kazi haya niliyowaambia hapa Mtu wenu ataozea Segerea na Kesi yake kila Siku itakuwa inapigwa danadana tu kwani mmeshaanza Kuonekana ni Magaidi mliojificha katika Muamvuli wa Siasa na Demokrasia.
Msije kusema hamkushauriwa sawa?
rais wa nchi kweli afanyia maamuzi kuendana na maneno ya wahuni kama kina mdude. Huyo rais atakuwa na uwezo mdogo Sana. Kama rais anaweza kufanyia kazi maneno ya wahuni kama kina mdude, mbona hafanyii kazi malalamiko ya tozo?