Chadema kuna vita vya madaraka.Usiingizwe mkenge, Chadema haina Mgogoro wowote
Uchaguzi wa chama cha siasa ni swala la ummaNi vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....
Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandadilia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini kuelekea uchaguzi mkuu ujao....
time will tell....
ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja
Vya ndani imeshindikana!! Hata yale mabango ni mradi wa MboweNi vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....
Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandadilia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini kuelekea uchaguzi mkuu ujao....
time will tell....
ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja
Huenda kweli usemacho, lakini usisahau wao ni binadamu, na kama walivyo binadamu wote hutokea wakati kuna kuhitilafiana.Usiingizwe mkenge, Chadema haina Mgogoro wowote
Tangu lini umekuwa mshauri wa CHADEMA?.Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....
Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandadilia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini kuelekea uchaguzi mkuu ujao....
time will tell....
ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja
Kwahiyo hamtaki kushauriwa?Tangu lini umekuwa mshauri wa CHADEMA?.
mim ni kiongozi nisiestahili wa wanainchi, mwalimu mnyonge sana na mchambuzi wa mahiri na makini sana, wa masula ya siasa kitaifa na kimataifa πTangu lini umekuwa mshauri wa CHADEMA?.
Hadi vikao mambo yameshaharibika. Sema viongozi wote wawe fair kuepusha maneno manenoNi vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....
Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandalia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini, kuelekea uchaguzi mkuu ujao....
time will tell....
ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja
still time ipo kurekebisha na kusahihisha dosari, unless yapo malengo mahususi ya kusambaratisha hii chama....Hadi vikao mambo yameshaharibika. Sema viongozi wote wawe fair kuepusha maneno maneno
JokaKuu brazaj KalamuNi vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....
Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandalia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini, kuelekea uchaguzi mkuu ujao....
time will tell....
ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja
Chadema kuna vita vya madaraka.
Ccm kunawaka moto, karibia watagawana mbao. Sukuma gang wanahoji kwann itolewe fomu moja tu ya kugombea urais kupitia ccm??Hadi vikao mambo yameshaharibika. Sema viongozi wote wawe fair kuepusha maneno maneno