Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
Nikiona hawa Chadema eti kabisa wanataka Urais hawa???? Hawa hawa??? Kabisa Watu wasiokua hata na adabu wala hawajitambui...Wanamtukana Lissu hivi kweli mtu kama Boni anajiita Yai anawezaje kumtukana Lisu alikaribia kifo kwa ajili ya chama chao?? Ni kwanini Mbowe kila akiiona wanachama wengine wanakua Kisiasa anawaanzishia zengwe??? Mimi nadhani Mbowe jiulize kwanza wangapi wameondoka kisa kupishana na wewe??? Sasa umeanza kudeal na Lissu. Kwa Kutumia magenge yako ya watu ambao mkibakia nao humu hawana uwezo kushinda hata kitongoji kimoja.Kuanzia marehemu Chacha Wangwe mpaka wakina Zitto hao wote ukishindwana nao sasa Lissu akiondoka utabakia na wahuni imefika muda mbowe achia Wengine sio lazima wewe tu