Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wafuasi wengi akina nani?Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Ila weye unanizidi mbali sana.Hivi ulisomea wapi mambo hayo?Maana una kipaji.😂😂😂😂Acha upuuzi
Sayansi ya kujifanya wewe ni kamanda wakati wewe ni uvccm njaa njaa?Huwezi kuelewa. Siasa ni sayansi.
UVCCM njaa njaa ndiyo hawa mabaki ya akina Makonda na SabayaIla weye unanizidi mbali sana.Hivi ulisomea wapi mambo hayo?Maana una kipaji.😂😂😂😂
Halafu anajiita "Kama ndoo"!😂😂😂😂UVCCM njaa njaa ndiyo hawa mabaki ya akina Makonda na Sabaya
Acha ushamba.
Hivi ndiyo vimagufuli vidogo vidogo vilivyobakiHalafu anajiita "Kama ndoo"!😂😂😂😂
Chini ya Mama tunakula kulingana na kamba zetuUlikula jana usiku?
Halafu kwa kujidai vinasali hadi mabarabarani havijambo.Hivi ndiyo vimagufuli vidogo vidogo vilivyobaki
Hivi siyo vya kuvichekea,vinaweza vuluga nchi kwa sababu ya uchonganishi
Wanafiki ndivyo walivyoUmeanza matusi?
JPM alikuwa Chadema mwenzetu?Na wewe acha unafiki na uzandiki
Jpm aliyekuwa anawalea hayupo tena
Uvccm njaa njaa wewe
Kwahiyo wewe ni Bavicha?JPM alikuwa Chadema mwenzetu?
Mfagia kumbi na mpokea wageni UWT huyoKwahiyo wewe ni Bavicha?
Ndiyo hivi vilikuwa vinatembea,kwa miguu toka Dar hadi Chato eti kisa kuunga juhudi za yule jamaaHalafu kwa kujidai vinasali hadi mabarabarani havijambo.
AhahahaMfagia kumbi na mpokea wageni UWT huyo
La ufahamu,jibu lake huwa ni Ndiyo au HapanaUnauliza maswali gani?
Chadema ipo moyoni kwanguNdiyo hivi vilikuwa vinatembea,kwa miguu toka Dar hadi Chato eti kisa kuunga juhudi za yule jamaa
Hivi siyo vya kuvichekea