Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Huyu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba wa ujambazi afrika na duniani!Huyo ni mwamba wa AFRIKA. Alitetea raslimali zetu zitusaidie. Endelea kutunza picha hiyo muhimu.
Kama ni Mawazo Yako Kweli nayaheshimu. Bt kama umelipwa nashauri Rudi uongezewe Salio maana NYEUPE kamwee haiwezi kuwa BLACK.Mwamba wa ujambazi afrika na duniani!
Nitaweka hii picha kwa kumbukumbu maalum ya maonyo ya vizazi vijavyo!
Ohyaa usitake tulie machozi hapa kwa maumivu makali tuliyopitia!Kama ni Mawazo Yako Kweli nayaheshimu. Bt kama umelipwa nashauri Rudi uongezewe Salio maana NYEUPE kamwee haiwezi kuwa BLACK.
Wewe umeweka post bila sasa unatoa wapi ujasiri wa kutaka evidence katika post za wengine.Let's evidence. Umefanya utafiti?
Ni ukweli lile dikteta lilikuwa ni jambazi lililokubuhu, mawazo yake na yangu yameshabihiana.Kama ni Mawazo Yako Kweli nayaheshimu. Bt kama umelipwa nashauri Rudi uongezewe Salio maana NYEUPE kamwee haiwezi kuwa BLACK.
Leta ushahidi.Lisu alikuwa Advocate wa hao wezi. Hakuna na HAKI yote kuisemea CHADEMA kuepuka mwingiliano wa maslah.
100%Ohyaa usitake tulie machozi hapa kwa maumivu makali tuliyopitia!
Ben Saanane damu na siye familia tunamlilia
Wafanyabiasha AM investment wanamlilia kwa kukwapua 3bn kutoka kwenye account zao!
Azory Gwanda familia bado inangojea Baba wa familia arudishwe
Wakazi 359 walitoweshwa huko MKIRU na baadaye maiti kwenye viroba zikaokotwa pembeni mwa bahari ya hindi wakazikwa kama mbwa.
Jambazi mwenzake Sabaya ameshakiri alitumwa na JPM kufanya ujambazi na uuaji.
Jambazi jingine Makonda; Kuna wenzenu wanazuia lisishtakiwe lisije likawaumbua kwa sababu mlishirikiana wengi!
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Ni jambazi lenye historia inayonuka zaidi ya choo cha stend
Umesahau David Mwangosi kwenye list ndugu na yule Daktar along'olewa kuchaOhyaa usitake tulie machozi hapa kwa maumivu makali tuliyopitia!
Ben Saanane damu na siye familia tunamlilia
Wafanyabiasha AM investment wanamlilia kwa kukwapua 3bn kutoka kwenye account zao!
Azory Gwanda familia bado inangojea Baba wa familia arudishwe
Wakazi 359 walitoweshwa huko MKIRU na baadaye maiti kwenye viroba zikaokotwa pembeni mwa bahari ya hindi wakazikwa kama mbwa.
Jambazi mwenzake Sabaya ameshakiri alitumwa na JPM kufanya ujambazi na uuaji.
Jambazi jingine Makonda; Kuna wenzenu wanazuia lisishtakiwe lisije likawaumbua kwa sababu mlishirikiana wengi!
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Ni jambazi lenye historia inayonuka zaidi ya choo cha stend
Akwilina na D. Mwangosi umewasahauNi ukweli lile dikteta lilikuwa ni jambazi lililokubuhu, mawazo yake na yangu yameshabihiana.
.Peleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.