Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wewe utakuwa vyeti feki uliyetumbuliwa hadi leo huamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki
Dhalimu mwenyewe alikuwa na PhD fake, sasa sijui ni vyeti fake gani alikuwa anapambana navyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa vyeti feki uliyetumbuliwa hadi leo huamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki
CHADEMA inajitosheleza, ina nguvu ina ushawishi.Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Acha ujinga we punguani. Unaweza kupata phd fake hapa duniani kirahisi?
We dada una Gubu sana....🤣😅Hujui siasa wewe pimbi.
Hakuna mwenye akili atakaye kuelewa, unadhani 2020 wamachinga na mama ntilie hawakupigia kura Chadema?WanaChadema wenzangu wenye akili watanielewa. Mpumbavu kama wewe huwezi kuelewa.
Kweli tupuAcheni uongo, mtu alyependwa CCM Ni jakaya 2005. Kila mtu alimkubali, sio huyo muiba kura za Watu 2020. Kupendwa hakulazimishwi ni hiari. Mstulamishe kumkubali mtu ambaye yeye mwenyewe Hana upendo.
Baba yako anazidi kuoza Chato.Baba yako?
Hivi issue ya makinikia uliamini tumelipwa yale mahela!!🤣🤣🤣🤣 Ndo maan wabongo tunapelekwa tu kama nguchiro!!CHADEMA ijifunze kukubali MAZURI ya viongozi kama yananufaisha wananchi. Waache kupinga kila kitu mfano ktk Sakata la makinikia Tundu alitanguliza maslah yake mbele kama mwanasheria kutetea wezi ,CHADEMA ikanyamaza. Wananchi tulikosa uungwaji mkono Kutoka vyama vya upinzani kuhusu suala Hilo. Sijui kama mtasamehewa.
Kikwete hakula bata, kuna Maza anakula bata huko jamani.....Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Mimi nawaambia chadema leo wakumbuke maneno haya ninayo waambia chama kikuu cha upinzani kitakuwa kile kinacho mkubali JPM hivyo chadema kimesha ondoka kwenye hiyo nafasi ni swala la muda tu ,ikiwa kikianzishwa chama kipya cha wafuasi wa jpm basi ndiyo mwisho wenu chadema na actNi mtaji mkubwa kwako wewe pamoja na mkeo[emoji205][emoji205][emoji205]
Lisu alikuwa Advocate wa hao wezi. Hakuna na HAKI yote kuisemea CHADEMA kuepuka mwingiliano wa maslah.Hivi issue ya makinikia uliamini tumelipwa yale mahela!!🤣🤣🤣🤣 Ndo maan wabongo tunapelekwa tu kama nguchiro!!
Hili Jambazi na uaji! limebebwa na Mola wetu ili kutulinda/kutuokoa na mauaji! Wafuasi wa huyu muuaji watakuwa wauaji kama hawataki kukiri kuwa hili lilikuwa jambazi na uaji! I hate you killers!! Tuyatafute yote tuyamalize tukianzie na yule kiazi wa Dar!Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Let's evidence. Umefanya utafiti?Wananchi tulio wengi tusio na vyama ndiyo tulimchukia zaidi.
Huyo ni mwamba wa AFRIKA. Alitetea raslimali zetu zitusaidie. Endelea kutunza picha hiyo muhimu.Hili Jambazi na uaji! limebebwa na Mola wetu ili kutulinda/kutuokoa na mauaji! Wafuasi wa huyu muuaji watakuwa wauaji kama hawataki kukiri kuwa hili lilikuwa jambazi na uaji! I hate you killers!! Tuyatafute yote tuyamalize tukianzie na yule kiazi wa Dar!
View attachment 2192707
Wajinga ni wengi!Peleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Jibu swal mzee 😂😂 ilikua kila mtanzania apate Noah!! Kuna mamb yalihitaj uhalisia na ukwel kuuaminisha umma, mamb tulikua brainwashed bila kuangalia effects zake ndizo zitasema ukweli!!Lisu alikuwa Advocate wa hao wezi. Hakuna na HAKI yote kuisemea CHADEMA kuepuka mwingiliano wa maslah.