CHADEMA haiji kupata tena nguvu ya ushawishi kama iliyokuwa nayo kabla ya Uchaguzi wa 2015

Kwa kweli wamebugi stepu sana na DPW, sijui wataanzia wapi kuwaambia wakulima wa vijijini walikuwa wanatetea bandari ambayo hata hawaijui, badala ya kujikita na sera za kuwasaidia wakulima ambao ndio wapiga kura asilimia 70
 
CCM kuna wajinga wengi ila wewe umezaliwa na ukichaa.Sidhani kama kamati teuzi inaweza kusoma peperushi lako ndefu yakufungia mandazi hadi uteuliwe wewe utasungua tako benchi hadi uzeeke ..wezio tunaweka tuu kapeperushi kadogo tu ila nyie mavi ya pusi munapata kiwewe...check down kenge wewe
 

Attachments

  • IMG-20230919-WA0064.jpg
    70.9 KB · Views: 1
Acheni uhuni wa kujitekenya wenyewe ,hapo kwenye 4 iliongezwa 0
 
Shetani la kuzimu hili, mungu chukua haraka hili lishetani na zalendo la Tumbo. Linaweka namba ya simu lipigiwe na matapeli ya chama cha maigizo(CCM)
 
Una kinyesi kichwani( upstairs)
 
Kwamba wewe huwezi kufanya tathmini ya hali ya kisiasa nchini kwa vyama vya siasa? Kwamba unashindwa kuelewa na kukubali ukweli kuwa vyama vya upinzani hapa nchini ni dhaifu sana na visivyo na malengo zaidi ya Usaka Tonge Tu?
Upinzani ni ngumu sana kumshinda CCM kwa mazingira ya sasa,labda miaka 10 ijayo kama marekebisho ya katiba yatafanyika yasiopendelea upande wowote.
Kumshinda CCM sio tu kupata Raisi kutokea upinzani bali kuwa na wabunge wengi kuliko CCM,kitu ambacho ni ndoto kwa sasa.
 
Wewe ni mpumbavu tunaamua kukupuuza. Hata Rais Samia kwa upuuzi unaojaza humu a anakudharau sana
 
Mahali Chadema imevurunda ni kukubali kula matapishi yao

Kuanzia mwanzoni waligoma kuwatambua Covid 19

Lkn sasa hivi wanakubali kuchukua ruzuku

Inaonyesha walivyo vigeugeu na kukosa msimamo
Kwani hiyo ruzuku inatokana na hao covid 19? Shirikisha ubongo badala ya makalio
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia matokeo ya Uchaguzi wa hivi karibuni Mbarali katika baadhi ya maeneo
 
Ili mushinde kwa kishindo ilibidi iongezwe 0 kama hivyo umesema ...ndio mana nasema wewe ni mjinga na mpumbavu kichaa
Wajinga aina yako ndio waliongeza 0 .Hivi unafikiri kuna mwana mbali mjinga ambaye angeweza kuwapeni kutajwa dharau za kuhutubia mkutano kwa njia ya simu?
 
Angalia matokeo ya Uchaguzi wa hivi karibuni Mbarali katika baadhi ya maeneoView attachment 2757709
Hapo ni wahuni waliamua kuongeza 0 ili kutafuta huruma kwa watu baada ya kushindwa vibaya sana katika sanduku la kura. Tangu lini mkutano wa kampeni unahutubiwa kwa njia ya simu? Au ACT walifikiria wana mbalali ni wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…