CHADEMA haiji kupata tena nguvu ya ushawishi kama iliyokuwa nayo kabla ya Uchaguzi wa 2015

Eti wazee walikipambania Chama...nguvu ya CCM ni Polisi na Usalama wa Taifa, hao wakikaa pembeni, CCM asubuhi tu hawapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Eti wazee walikipambania Chama...nguvu ya CCM ni Polisi na Usalama wa Taifa, hao wakikaa pembeni, CCM asubuhi tu hawapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
CCM inabebwa na ubora wa sera na ajenda zake pamoja na utekelezaji mzuri wa ilani yake inayokuwa imebeba na kusheheni mambo yote yenye kukata kiu ya kila kundi na kuendana na mahitaji ya wakati. Mivyama ya upinzani kama chadema haviwezi hata kuandaa ilani yake wala mgombea ,ukitaka kufahamu hili rejea kilichotokea 2015.
 
Mahali Chadema imevurunda ni kukubali kula matapishi yao

Kuanzia mwanzoni waligoma kuwatambua Covid 19

Lkn sasa hivi wanakubali kuchukua ruzuku

Inaonyesha walivyo vigeugeu na kukosa msimamo
Uliambiwa ruzuku inatokana na hao wabunge wa viti maalum?
 
Hahaaaa!!!!hakika maisha bila uchawa inawezekana
 
Ndugu yangu Erythrocyte Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu.
Kwa nini unakwepa hoja?
Umeulizwa kuhusu katiba mpya, wewe unazungumzia time ya uchaguzi?!
 
Kwa nini unakwepa hoja?
Umeulizwa kuhusu katiba mpya, wewe unazungumzia time ya uchaguzi?!
Suala la katiba mpya hatuwezi tukawa tunarudia kulizungumza humu kama makasuku. Fuatilia mjadala wa baraza la vyama vya siasa uliofanyika majuzi juzi hapo ili ujuwe juu ya suala hilo ambalo hata huku tumeshalijadili Tayari.
 
Hakika wewe ni chizi kama machizi wengine.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Lazima upingwe kwa nguvu unachanga watu wa akiri wasitani nilazima tuwalinde kwenye wasaka tonge kama mavi wewe
Wewe ndiye unapaswa kulindwa ili usije kuwadhuru watu na kichwa chako hicho kilichokosa mielekeo kwa sasa.
 
Vipi huko kwenu umeme na maji ?
Sisi huku hakuna kabisa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Huku kwetu kama yalivyo maeneo mengi ya nchi Tunaendelea kupata huduma bora za maji safi na salama pamoja na huduma za umeme mpaka vijijini.wananchi wanaendelea kumshukuru mh Rais wetu na serikali yake kwa kazi kubwa aliyoifanya katika kuwapelekea miradi ya mabilioni ya fedha ili kutuondolea adha za kutafuta maji umbali mrefu.
 
Mwaka huu ni lazima upasuke maana nakutwanga kwa hoja nzito mpaka unahisi bangi kukulevya. Nitaendelea kukushushia hoja nzito mpaka uwehuke
Utapasuka msamba wewe kwa kusubiria uteuzi lakini HUTEULIWI NG'O bwege mtozeni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…