CHADEMA haiji kupata tena nguvu ya ushawishi kama iliyokuwa nayo kabla ya Uchaguzi wa 2015

Utapasuka msamba wewe kwa kusubiria uteuzi lakini HUTEULIWI NG'O
Wewe mwenye presha ndiye unayekwenda kupasuka .lakini mimi sina presha haya kidogo tofauti na wewe na mibangi yako umebaki unaporomosha mimatusi kama ishara ya kuzidiwa na hoja zangu nakubakia ukiropoka kama mwendawazimu.
 
Wewe tafuta mume uolewe tu lakini suala la uteuzi sahau kabisa usije ukazalia nyumbani kwenu.
 
Wewe tafuta mume uolewe tu lakini suala la uteuzi sahau kabisa usije ukazalia nyumbani kwenu.
Nimeshasema mwaka huu lazima upasuke tu maana nakutwanga mpaka akili yako sasa imekuruka na umebakia unaporomosha tu matusi kama kichaa . Nipo na wewe mguu kwa mguu mpaka uokote Makopo jalalani mwaka huu
 
Huyu mama chini ya serikali yake ndo anayeipa CDM umaarufu wasiostahili
 
Huyu mama chini ya serikali yake ndo anayeipa CDM umaarufu wasiostahili
Kwa sasa chadema imebaki jina tu maana watu wamepuuza na kuitupa baada ya kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya Rais samia iliyoleta matumaini katika maisha ya watanzania.
 
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm.
 
Kwa sasa chadema imebaki jina tu maana watu wamepuuza na kuitupa baada ya kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya Rais samia iliyoleta matumaini katika maisha ya watanzania.
Kazi kubwa ya mgao wa umeme?!
 
Vipi kwani hamjui kunakili picha za nembo halafu mkaziweka kwenye word document halafu mkachapisha kwa mshikaji mwenye pinter na kujaza pumba ndani mnavyojisikisia, au wote tunaishi vijijini?
 
Wewe ndiye unapaswa kulindwa ili usije kuwadhuru watu na kichwa chako hicho kilichokosa mielekeo kwa sasa.
Nipo tayari kula ban kwasabsbu ya gini wewe...tafuta wakuwadanganya sio watu weelewa kama Mimi...by the way how far did you go with your education???
 
Nipo tayari kula ban kwasabsbu ya gini wewe...tafuta wakuwadanganya sio watu weelewa kama Mimi...by the way how far did you go with your education???
Kwa akili yako ilii vurugika kwa sasa ni lazima ufungiwe tu
 
Hakuna kwa sasa chama chenye uwezo wa kuitikisa wala kuiyumbisha CCM .Hakuna chama wala mtu mwenye kuipa hofu CCM. CCM ya sasa ni imara na yenye nguvu kubwa sana
Ni imara kuliko ile ya Rais wenu Magufuli ya 2020? Mbona iliamua kuiba uchaguzi mzima baada kushindwa vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…