CHADEMA haitishi kama inavyotaka iogopwe, ni chama cha uchaguzi siyo cha kushika dola

CHADEMA haitishi kama inavyotaka iogopwe, ni chama cha uchaguzi siyo cha kushika dola

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.

Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "

Binafsi sioni sababu ya CCM kuwa na hofu na CHADEMA na wala hakuna sababu za kuwafanyia figisu.

Kiufupi ni kwamba CHADEMA haina wapiga kura na huo ndio ukweli.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wanaojua saikolojia wanafahamu sasa kwamba wana ccm wazidi kuogopa na kwamba CHADEMA inazidi kuwa chama chenye kuogofya sana hasa kwa jiwe. Najua wiki 2 au 3 hivi jiwe amebadilika, amenyongo'onyea, ameelewa kuwa hawezi kufanya kila kitu na kusifiwa na kila mtu, amekuwa mpole kwa lugha ya mtaani. Hakutegemea...., na wana ccm wengi ndio hivyo hivyo wapo kwenye shock. Ni wakati wa kujifunza unyenyekevu.
 
Unasema Chadema ni chama cha uchaguzi, sababu mliwazuia miaka yote mitano kufanya siasa leo wakati wa kampeni ndio mmewaachia na bado mnakimbizwa kama watoto wadogo huko field.
 
Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.

Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura ".....
Mtajua hamjui kina nyie
 
Ccm mikakati ya kunyamizisha upinzani ndiyo inaenda kuwa kiini cha kupotea..tulishaur humu sana kwamba hii mbinu inaipa advantage upinzani..hivi mbinu ile ya uchaguzi serkal za MiTAA wanaccm wenzangu muliona ni mbinu ya kisomi?Kuna jini limetuteka ila hatjastuka!!!
 
Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.

Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "

Binafsi sioni sababu ya CCM kuwa na hofu na CHADEMA na wala hakuna sababu za kuwafanyia figisu.

Kiufupi ni kwamba CHADEMA haina wapiga kura na huo ndio ukweli.

Maendeleo hayana vyama!
johnthebaptist , uchaguzi huu say in a hypothetical scenario, ukisimamiwa na UN or anything international, neutral body of that nature, Magufuli is gone! Weak point ya magufuli ni kuwa hakuna ambaye hajaumizwa na Magufuli be it PM, VP , Shein and all people you can think of! Wananyamaza kwa vile wanaogopa!
Keita nasikia Jeshini aliweka watu wake, all high ranking oficers walikuwa his allies, lkn wale wadogo wakajitenga! Unasikia kilichotokea? Salary Slip
 
Kwani nani kasema kuwa anataka iogopwe? This is a very important question for you to answer
 
Back
Top Bottom