CHADEMA haitishi kama inavyotaka iogopwe, ni chama cha uchaguzi siyo cha kushika dola

CHADEMA haitishi kama inavyotaka iogopwe, ni chama cha uchaguzi siyo cha kushika dola

Ccm mikakati ya kunyamizisha upinzani ndy inaenda kuwa kiini cha kupotea..tulishaur humu sana kwamba hii mbinu inaipa advantage upinzani..hivi mbinu ile ya uchaguzi serkal za MiTAA wanaccm wenzangu muliona ni mbinu ya kisomi?Kuna jini limetuteka ila hatjastuka!!!
Stor za humu zinanikumbusha sauti ya Lubuva, alipotoa matokeo ya kura za Mbeya, Arusha, DSM na pemba ilionekana EL ameishashinda na hapahapa jf watu walianza sherehe.

Zilipotangazwa kura za Moro, Dodoma, Mwanza, Tabora Shinyanga kibao kiligeuka na wotè mlikimbia hatukujua mlopopotelea. Sasa kampeni zikiaanza na mwisho wa uchaguzi naomba msijetukimbia tena.
 
kama haitishi acheni vyombo vya habari viwe huru.

Viwe huru kuongea uongo au kuandika matusi ya bavicha ambao wamekosa adabu kwa wakubwa. Uhuru gani mnataka, wa maendeleo na kujenga nchi au wa umbea na kutoa matusi bila kuwa na maendeleo?

Vijana wa bavicha na watanzania wamekuwa ni watu wa kupenda umbea badala ya hoja za kuwapa maendeleo. Mjadili maendeleo na sio watu na kuombea wengine mabaya au serikari zishindwe kutekereza wajibu wake.
 
Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.

Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "....
wanaendesha chama kwa siasa kwa upepo matukio hawana dira. Hata ikitokea tukawapa dola hawana wana uwezo wa kuunda serikali.
 
Back
Top Bottom