johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wale walikuwa wapiga mitama.Wale wasanii 200 wa kutunga nyimbo za kusifu chama walikuwa ni wa nini kumbe
Jr[emoji769]
Mtajua hamjui kina nyieNiseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.
Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura ".....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wasanii 200 wa kutunga nyimbo za kusifu chama walikuwa ni wa nini kumbe
Jr[emoji769]
johnthebaptist , uchaguzi huu say in a hypothetical scenario, ukisimamiwa na UN or anything international, neutral body of that nature, Magufuli is gone! Weak point ya magufuli ni kuwa hakuna ambaye hajaumizwa na Magufuli be it PM, VP , Shein and all people you can think of! Wananyamaza kwa vile wanaogopa!Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.
Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "
Binafsi sioni sababu ya CCM kuwa na hofu na CHADEMA na wala hakuna sababu za kuwafanyia figisu.
Kiufupi ni kwamba CHADEMA haina wapiga kura na huo ndio ukweli.
Maendeleo hayana vyama!
Kama mtahesabu kura za Urais hadharani hamtoboiNiseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.
Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "...
Kukusanya wasanii zaidi ya 200 uwanja wa uhuru ni gharama ndogo?Katika mwaka ambao CCM kwenye uchaguzi wametumia nguvu mdogo basi ni mwaka huu. Wanajilia faida ya kutekeleza sera zao kwa kiwango Cha kuwafurahisha Watanzania.
Tunataka uhuru na kaziSisi hatujasema tuogopwe! Sisi tunataka ikulu na dola kwa ujumla.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app