Stor za humu zinanikumbusha sauti ya Lubuva, alipotoa matokeo ya kura za Mbeya, Arusha, DSM na pemba ilionekana EL ameishashinda na hapahapa jf watu walianza sherehe.Ccm mikakati ya kunyamizisha upinzani ndy inaenda kuwa kiini cha kupotea..tulishaur humu sana kwamba hii mbinu inaipa advantage upinzani..hivi mbinu ile ya uchaguzi serkal za MiTAA wanaccm wenzangu muliona ni mbinu ya kisomi?Kuna jini limetuteka ila hatjastuka!!!
On point.Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.
Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "...
kama haitishi acheni vyombo vya habari viwe huru.
wanaendesha chama kwa siasa kwa upepo matukio hawana dira. Hata ikitokea tukawapa dola hawana wana uwezo wa kuunda serikali.Niseme tu ukweli kwamba CHADEMA ni wepesi sana.
Ni chama cha msimu kinachoamini katika umaarufu wa kukusanya binadamu wengi kwenye mikutano yao badala ya kujenga ushawishi wa kisera kwa " wapiga kura "....