Kwani lini ali aliwahi kusema anataka wenyekiti au siku hizi umekuwa msaidizi wake. Hajawahi kusema chochote kuhusu umakamu wala wenyekiti ila tumeona ameamua kuchukua fomu ya makam we unasema kalazimishwa. Kwa mazungumzo gani au unadhani mawazo yako ni reliable source ya anachokika Lisu.Vti maalum alikuwa anafanyaje kama sio kugawa. Mpaka sasa tundu hakuwahi kusema anagombea umakam, lakini kafosiwa ndo maana bado amekaa kimya anatafakari.
Hiyo hoja ya Membe ipo kwenye ''nyuzi nyingine'' ni vema ukajikita kwenye hoja..kweli.
..CCM na nyinyi mumruhusu Membe achukue fomu za kugombea Uenyekiti wa chama.
..na Tume Huru ya Uchaguzi, anayezuia isipatikane ni CDM au CCM?
..ukiwa mwana CCM unaweza kutueleza kwanini hatuna tume huru ya uchaguzi? Je, ni HAKI?
maoni yako boss...
Prof amesema ukweli ama amekosea?.
Nimeanza kuamini kuwa wangwe walimpiga vita baada ya kuweka nia ya kugombea.
Mbowe ni mtu hatari kuliko hatari yenyewe.
Serikali iwe macho sana na huyo Mbowe.
Hata umaarufu wa Lisu huenda ulitiliwa mashaka na Mbowe.
Kwa nini ampe umakamu wa mwenyekti na sio Mwenyekiti?
6:25 "....kama ukisoma magazeti haya kuhusiana na mheshimiwa Sumaye na nini, na huyu Cecil Mwambe; unaona kwamba watu wakitaka kugombea na nini....inaweza kuonekana kama loose talk, lakini tusichukulie kirahisi rahisi kiasi kile. Then ni kwamba tufanyie kazi. Kama watu wanalalamika tusinanhii, sio kama jongoo unalitupia pembeni, hapana lazima kufanyia kazi vitu kama vile, hapa tusidharau..." Prof. Safari.
Kwani lini ali aliwahi kusema anataka wenyekiti au siku hizi umekuwa msaidizi wake. Hajawahi kusema chochote kuhusu umakamu wala wenyekiti ila tumeona ameamua kuchukua fomu ya makam we unasema kalazimishwa. Kwa mazungumzo gani au unadhani mawazo yako ni reliable source ya anachokika Lisu.
Hiyo hoja ya Membe ipo kwenye ''nyuzi nyingine'' ni vema ukajikita kwenye hoja
Sina tatizo na alichosema Profesa Safari hasa ukizingatia ameamua kusema hilo sasa. Cdm haina tatizo la wapiga kura wanaoweza kuwapa ushindi, tatizo liko kwenye mfumo mzima wa ushindani, kama mfumo wa ushindani utaendelea kuwa huu huu ambao mwenyekiti wa ccm ambaye huwa ni rais kuendelea kuwa juu ya sheria kikatiba, na kuchagua viongozi wote wa taasisi za kimamlaka, kama mahakama, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, mwenyekiti wa tume nk, kisha wakuu hao kudhani wana jukumu la kulipa fadhila za aliyewateua, ni dhahiri sio cdm tu, bali hakuna chama chochote cha upinzani kitaingia madarakani kwa njia ya amani. Kama mtazamo wa profesa Safari uko kwenye ukweli huu na sio hasira, basi yuko sahihi. Mimi nitaendelea kuhimiza watanzania kutokushiriki uchaguzi wowote katika mazingira ya sasa.
Tatizo kubwa ni jinsi nyinyi ccm mnavotafsiri
Kila mtu anao uhuru kamili wa maoni nje ya ccm
Ndani ya ccm hakuna mtu kuongea wala
kukosoa
1. Bernard
2. Abdullahamani
3. Mnauye
4. Makamba junior + senior
5. Ngeleja
6. Nknk
Atakayeinua kinywa chake yupo mashakani.
Shule zimefungwa. Karibu sanaKivipi?
Prof anaisema chadema...
Unahamisha hasira kwa ccm..
Ccm mbaya tuonyesheni chadema ya demokrasia..[emoji16]
Hujaripoti polisi mashaka yako? au na wewe mwanasiasa tu...Nimeanza kuamini kuwa wangwe walimpiga vita baada ya kuweka nia ya kugombea.
Mbowe ni mtu hatari kuliko hatari yenyewe.
Serikali iwe macho sana na huyo Mbowe.
Hata umaarufu wa Lisu huenda ulitiliwa mashaka na Mbowe.
Kwa nini ampe umakamu wa mwenyekti na sio Mwenyekiti?
Mbona walizoea kwenda Ikulu kunywa chai na biskuti wakati wa JK. Magu kakaza vyuma wanalialia ati wanachema rais hata hawakaribishi kwenda kunywa chai kisa amewakumbatia viongozi wa kata.