Ni kweli tume huru ya uchaguzi ni njia sahihi, lakini kusema kuwa wapinzani hawajawa serious na jambao hilo, si sawa sana. Tume ya uchaguzi iko kikatiba, hivyo madai yoyote juu ya tume ya uchaguzi lazima yaende na madadiliko ya katiba. Mchakato wa katiba uliishia wapi, uligeuzwa wapi ?
Demokrasia imeminywa wapi?
Tatizo la watanzania tulio wengi akili zetu zimedumaa
1. Katiba mpya imefichwa ndani ya kabati
2. Tume ya uchaguzi mali yao
3. Siasa marufuku
4. Mikusanyiko maruku
Unaanzaje kufanya madai ya mambo mazuri ya msingi kwa Taifa?
Unaweza kupotezwa au kuishia wanakojuwa wao.
Hoja zingine mtu anapochangia unashindwa kuelewa kama yupo timamu, alitekwa nakushinikizwa aongee au mpuuzi!
1. sumaye amedai kushughulikiwa kwakuwa amegombea uenyekiti.
2. Katiba ya chadema ilikuwa na ukomo wa mwenyekiti... Ni kikao gani kimehusika kutoa ukomo na hivyo kumfamya Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu akishinda lwa mabavu eg Zitto, Wangwe, Sumaye
Kwahivyo imeishiwa solution?
Kweli wwHuu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.
Kasema wapinzani achani ushabiki wa kijinga na kitotoMkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.
Tulisema humu akina sisi,
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Kuna kitu hapa kilisemwa na Masha
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Chadema, kuwa ni sikio la kufa, katika safari ya kuelekea kushika dola, Chadema kinafanya makosa, hivyo kinashindwa kushika dola, wako watu wenye uono, huwa wanakiambia Chadema makosa yake na kwa nini hakishiki dola, lakini Chadema hakisikii, kinaweka...www.jamiiforums.com
Kikapuuzwa, sasa leo kusema Prof. Safari, haya sasa manazi wa Chadema, njooni mumponde kama kawaida yenu.
Mkiambiwa
MnakasirikaCHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!
Wanabodi, Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko, akiangalia hii trend ya Chadema inayokwenda nayo sasa, atakubaliana na mimi, kuwa the trend is not good at...www.jamiiforums.com
P.p
Acha profesa Safari kusema, hata angesema Lisu lakini ukweli hauzuiwi na maoni ya mtu yoyote.
Nimeanza kuamini kuwa wangwe walimpiga vita baada ya kuweka nia ya kugombea.
Mbowe ni mtu hatari kuliko hatari yenyewe.
Serikali iwe macho sana na huyo Mbowe.
Hata umaarufu wa Lisu huenda ulitiliwa mashaka na Mbowe.
Kwa nini ampe umakamu wa mwenyekti na sio Mwenyekiti?
Profesa amekumbuka kujihami wakati wa kipigo cha makonzi, cha mijeledi kikiwa kimeshapitaHuu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.
1.
- Amegombea na kupigiwa kura. Sio lazima ashinde! Ameshindwa kihalali
- Amechukuwa fomu ya Uenyekiti na kurejesha
Swali
A) unapogombea Kuna matokeo ya aina ngapi?
B) Amenyimwa fomu?
2. Onesha kifungu kinachomzuwia mtu asigombee kwenye katiba halali ya CDM hivi sasa......
1.
- Amegombea na kupigiwa kura. Sio lazima ashinde! Ameshindwa kihalali
- Amechukuwa fomu ya Uenyekiti na kurejesha
Swali
A) unapogombea Kuna matokeo ya aina ngapi?
B) Amenyimwa fomu?
2. Onesha kifungu kinachomzuwia mtu asigombee kwenye katiba halali ya CDM hivi sasa......
ukweli mchungu hakuna mwana CHADEMA atakae ukubali ujumbe huuHuu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.
Sasa mtu kama hatoshi kuwa mwenyekiti wa chama atatosha kuwa raisi?1000 digits,
Acha kulisha watu udenda mchafu kiongozi. Kwani mbowe anagawa uongozi kama kule chama kingine ambako huwa hawagombei? Mbowe hana cheo cha kugawa viongozi wote wanachaguliwa sasa amempaje Lisu ukaimu. Kila mtu kachikua form alipoona anatosha. Na uchaguzi tar 18 Lisu sio naibu mwenyekiti bali kwa sasa ni mgombea.
Leo umefufuka enh. Ngoja nikurudishe kuzimu kabla hujatupasua vichwa humu.
Kwanza pitia huu uzi, ukapate kazi ya kujitibu PRESHA, posho za 7,500/= zitawaua.
Wale member Wote wa Jf walio pita kichaka hiki wote tutawazika
Yaani kama unajijua ulitembea hapa kavu jiandae kisaikolojia, yaani mijamaa imekuwa ikijilia kimya kimya, sasa nawatahadharisheni ndugu zangu ukimwi Upo Hili ndiyo chaka la watu waliotoka na vidudu...www.jamiiforums.com
..amesema lazima kuwepo na TUME HURU YA UCHAGUZI.
..pia ameeleza jinsi CCM walivyomdhulumu na kumharibia career, ndoto, na mipango yake ya kwenda kufanya kazi International Court of Justice, yenye makao makuu The Hague.