CHADEMA haiwezi kwenda Ikulu - Prof. Safari

Vti maalum alikuwa anafanyaje kama sio kugawa. Mpaka sasa tundu hakuwahi kusema anagombea umakam, lakini kafosiwa ndo maana bado amekaa kimya anatafakari.

Kwa mapokeo ya Kafrika kiongozi mzuri ni yule ambaye jamii au wenzake wanamuona na kumshawishi kuingia kwenye kinyang'anyiro.
 
NI KWELI MAYALA
 
Tufahamu kwanza wasifu wa Mbowe, alisomea kidato cha nne shule gani na matokeo yake yakoje? Likijibiwa hili tu Chadema itaingia Ikulu
 
Kumbe JK alijitahidi kuleta katiba mpya. Kwa sasa watu wameanza kufahamu kuwa kubadili katiba ni sasa sio kesho.Nguo mtoto inambana inahitajika kushonewa mpya.Kugangania mtoto aendelee kuvaa nguo zilizobana watu hawatashangaa mtoto bali wewe mzazi
 

Hao wanaolalamika ni cdm au ccm? Kama ni cdm weka ushahidi
 
Hahah

Aikael amepanga safu ya uongozi kabla hata ya uchaguzi wa ndani ujafanyika kujua nani mshindi, je ndio democratic process ilivyo ulimwenguni?

Chadema zaidi ya KAOLE.
 
Hahah

Aikael amepanga safu ya uongozi kabla hata ya uchaguzi wa ndani ujafanyika kujua nani mshindi, je ndio democratic process ilivyo ulimwenguni?

Chadema zaidi ya KAOLE.
Huwa sipotezi mda kuijadiri chadema, hicho ni chama cha kuweka na kukopa, uliza wabunge fedha wanazokatwa ukipewa uongozi ule wa top 10 wachama km umetoka nje ya mikoa ya kilimanjaro katambike vinginevyo utakuwa hapo km boya, muulize mashinji km atavuka tena! Pamoja nakuwekwa km kasuku ktk nafasi ile lkn kuna mtu anaitwa mlema pale dar utadhani ndo katibu mkuu! Ananguvu kuliko mashinji. Mashinji oye.
 
"...If an allegate comes down from the river and says, Mr. Crocodile is sick! Could you doubt the story?.."
 
You nailed it mkuu.


Chadema zaidi ya KAOLE
 
Hapo sina cha kuongeza wala kupunguza; kila kitu ulichoandika ni ukweli mkuu.
 
Kubenea, Kubenea huogopi kuadhibiwa kama Sumaye? Unaruhusuje chombo chako kusambaza huu upupu?
 
Nataka niwatahadharishe ndg zangu wa tanzania, mkae mkijua siasa ni biashara nazo! Nasiada niukombozi! Lkn siasa nazo ni KIKI. Hivyo kabula hujashobokea chama kiangalie nichama cha aina gani kati ya makundi hayo. Mfano Mbowe watu wanamlaumu kukalia kile kiti cha KUB siyo mjinga. Mbowe amewekeza hisa nyingi ktk chama hivyo lazima awe kiongozi mkuu wa chama ili kulinda hisa zake. Nanilazima apange safu za uongozi watakaomsaidia kuingiza pesa ktk biashara hiyo yasiasa, Sumaye hana hisa hata moja nani atakupa chama? Yani mwenye fedha akae akikuomba wewe eti umeteuliwa!!! Hata km ningekuwa mimi nisingekubari. Chadema nichama kilichopo kibiashara zaidi nasiyo chama cha kutaka kiki wala cha ukombozi. MWISHO.
 
Anaebisha aje hapa tuweke ushahidi hisa za mbowe na mteii nawote wenye chadema
 
Sasa mtu kama hatoshi kuwa mwenyekiti wa chama atatosha kuwa raisi?
Hayo ni mawazo ya mtu ambae ana shida kwa kichwa. Kama unaona hatoshi c upige kura ya hapana chagua anatosha. Kwani shida ipo wapi? Uchaguzi CDM ni huru na haki si wa kumkabidhi mtu wenyekiti kumbuka hill. Sasa kwakuwa atapigigiwa kura sambamba na wagombea wenzake basi kura itaamua kama anatosha au la! Ila sio kwa kauli yako pekee. Tumeona Mzee Sumaye alikuea peke yake ingekuwa ni kule wa majambazi ungesikia kapita bila kupingwa lakini ndani ya demokrasia ya kweli imewataka wajumbe kupiga kura ya ndio na hapana na hapana wameshinda. Hebu niambie wapi ndani ya hii nchi kitu kama hiki kinafanyika?
 
Jiwe anajua sababuvya shambulio la Lisu,hoja ya Mbowe anahusika ingekuwa na nguvu kama vyombo vya usalama vingechunguza na kutoa matokeo.
Tuhuma nyingi zimuhusu jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…