Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ukiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni siasa za ndani na ni kawaida. Hivyo ccm kuchochea moto ionekane CHADEMA Kuna migogoro LISSU VS MBOWE ni kujilisha upepo na maombi ya fisi kuomba mkono wa binadamu udondoke. Erythrocyte hebu waeleze Hawa ccm wenye makomamanga kichwani badala ya akili.