Chadema walitengeneza mgogoro ili anagalau wawe kwenye vyombo vya habari. Na waandishi wakajaaa kila siku ni wao na chadema hadi habari zimekosa radha. Kiukweli wiki hizi mbili wamepata airtime na matangazo ya bure ya kutosha kabisa. Miaka yote huwa sijui chadema kama wanafanya uchaguzi ila mwaka huu nimejua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni siasa za ndani na ni kawaida. Hivyo ccm kuchochea moto ionekane CHADEMA Kuna migogoro LISSU VS MBOWE ni kujilisha upepo na maombi ya fisi kuomba mkono wa binadamu udondoke. Erythrocyte hebu waeleze Hawa ccm wenye makomamanga kichwani badala ya akili.
Ila kuna mwanya na nyufa miongoni mwa viongozi wake waandamizi wa kitaifa, right?Ukiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni siasa za ndani na ni kawaida. Hivyo ccm kuchochea moto ionekane CHADEMA Kuna migogoro LISSU VS MBOWE ni kujilisha upepo na maombi ya fisi kuomba mkono wa binadamu udondoke. Erythrocyte hebu waeleze Hawa ccm wenye makomamanga kichwani badala ya akili.
hao ni waumini wa ule umoja wa 4rNashangaa sana wale maccm waliokuwa wanamlaumu Mbowe kukaa muda mrefu madarakani leo wamegeuka kuwa watetezi wa Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti na kumnanga vibaya Lissu kwa kutangaza nia. Wale chawa wooote wa Samia humu JF na wapambe wa Mbowe wameungana kumshambulia Lissu kwa maneno makali sana. Huu ushirika wa chawa wa Samia na cha wa Mbowe unatia shaka sana.
Waumini wa nusu mkate na sega la asali.hao ni waumini wa ule umoja wa 4r
kumbe kuna watu mnaaakili humu eeeh hilo nalijua tangu mwanzo mbonaChadema walitengeneza mgogoro ili anagalau wawe kwenye vyombo vya habari. Na waandishi wakajaaa kila siku ni wao na chadema hadi habari zimekosa radha. Kiukweli wiki hizi mbili wamepata airtime na matangazo ya bure ya kutosha kabisa. Miaka yote huwa sijui chadema kama wanafanya uchaguzi ila mwaka huu nimejua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mgogoro upo na ni mkubwa unaweza kukigawa Chama kwasababu kuna kundi Maslai na kundi linalo kipigania Chama wakati kundi maslai limehodhi michakato yote ya ndani msijidanye kunawalaji hapo ndani wanatafuna kama mchwa. Hao ndiyo watakipasua chama wala siyo swala la Lisu na Mbowe. IUkiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni siasa za ndani na ni kawaida. Hivyo ccm kuchochea moto ionekane CHADEMA Kuna migogoro LISSU VS MBOWE ni kujilisha upepo na maombi ya fisi kuomba mkono wa binadamu udondoke. Erythrocyte hebu waeleze Hawa ccm wenye makomamanga kichwani badala ya akili.
Huu kwa kweli ni uzezeta. Sasa walivyokuwa wakimpigia kelele Magufuli kwamba anataka kubadili katiba ili abakie ikulu milele?? Kama huu ndiyo mtazamo wa viongozi wa chadema (chama mbadala) hakika bado tuna safari ndefu.Kabisa hakuna mpasuko, ni uzushi tu,
Ila ukweli usemwe kuna kila sababu ya wakaloni kurudi, hata siasa tu tumeshindwa!
View attachment 3177918
Vyovyote itakavyokuwa kamwe siwezi kuipenda CCM never ni watu wabaya sanaUkiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni siasa za ndani na ni kawaida. Hivyo ccm kuchochea moto ionekane CHADEMA Kuna migogoro LISSU VS MBOWE ni kujilisha upepo na maombi ya fisi kuomba mkono wa binadamu udondoke. Erythrocyte hebu waeleze Hawa ccm wenye makomamanga kichwani badala ya akili.
Kuna safari ndefu bro...baadhi yetu wameshaanza kulamba matapishi yao.Huu kwa kweli ni uzezeta. Sasa walivyokuwa wakimpigia kelele Magufuli kwamba anataka kubadili katiba ili abakie ikulu milele?? Kama huu ndiyo mtazamo wa viongozi wa chadema (chama mbadala) hakika bado tuna safari ndefu.
Sina uhakiki na unachosema kwa habari ya account binafsi ila tusipotaka mabadiliko sisi tusiyatarajie kwingine.....Ukomo wa Uongozi, na Fedha za Chama kuingizwa kwenue Akaunti ya Mtu binafsi, hizi Issue mbili zinafanya mtu "ang'ang'anie" Uongozi, Reforms zinahitajika CHADEMA.