CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.

Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.

Tulisema humu akina sisi,
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Kuna kitu hapa kilisemwa na Masha
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

Kikapuuzwa, sasa leo kusema Prof. Safari, haya sasa manazi wa Chadema, njooni mumponde kama kawaida yenu.

Mkiambiwa
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!
Mnakasirika

P.
 
Bro" KUNA KUSHINDWA KIHALALI.
NA KUSHINDWA KIHARAMU"

ishu sio chadema KUSHINDWA KUINGIA IKULU.
BALI WAMESHINDWA KUINGIA IKULU KWA NJIA GANI..

hauwezi kusema chadema hawajajipanga wakati .
1.mwenyekiti wa ccm anawaogopa.
2.ccm yenyewe inawaogopa.
3.spika wa bunge anawaogopa.
Polisi na NEC pia wanaiogopa CHADEMA.
 
Hili la Chadema kutokujipanga ni kutokana na upangaji wa safu yake ya uongozi. Nawashauri Chedema wanaojitambua, kesho wafanye surprise walete mabadiliko waingie watu wapya ambao watawapanga, Chadema itajipanga.
P
 
Mkuu Wakili Msomi, Petro Mselewa, Naunga mkono hoja, hawa Chadema ni sikio la kufa, sijui kama watausikia ushauri wako huu ambao kiukweli ni ushauri mzuri sana kwa Chadema kufuata sheria bila shuruti.
Chadema kama mna masikio, sikieni.

P
 
As long as Mbowe remains in charge there, CHADEMA will never get anywhere - watakuwa wanapiga kelele tu na kula ruzuku without getting anywhere.
 
Chadema ni chama kingongwe ambacho it never learns, hakijifunzi kwa makosa, and it keeps repeating makosa yale yale yanayokuja kukigharimu chama mbele ya safari.

Mimi ni miongoni mwa watu wachache humu jf ambaye niliisoma katiba ya Chadema kuliko hata baadhi ya wanachadema wenyewe.

Hawa japo wamefukuzwa, kufukuzwa huku hakukufuata utaratibu.

Ila kwa vile Bunge linavunjwa tarehe 28 ya mwezi huu, nawashauri waliofukuzwa wakubali tuu matokeo na kuachana na Chadema kwa amani bila kuibua mgogoro wowote kwasababu Spika atawalinda Bungeni wasifukuzike hadi Bunge livunjwe.

Swali ni when will Chadema learn from its past mistakes?!. Katiba ya Chadema ipo, taratibu za kufuata zipo, kwanini hawafuati katiba yao, sheria zao, taratibu zao na kanuni zao?. Tukiwaambia huu ni uhuni.

Uchaguzi ni kesho tuu, halafu leo mnafukuzana, mkiambiwa hamjajipanga mtasema tunawaonea?.

P
 
Mkuu Mshana Jr, kwanza heshima mbele, hakuna mtu yoyote anayeiombea Chadema ife, kosa langu ni kuwa mkweli too much.

Humu jf tuna members wa aina 3, tuna
  1. Simple minds, discuss people, wao badala ya kujadili hoja iliyo mezani, hawa watamjadili mtoa hoja.
  2. Ordinary minds, discuss events, hawa watadili matukio, nini kimetokea etc
  3. Great minds discuss ideas, hawa watajadili hoja iliyo mezani.
Hivyo naomba keep on being free, kujadili watu, matukio na hoja, katika mabandiko yangu, ukiweza kujibu hoja, nitashukuru, ila hata ukinijadili, sikulaumu na likes nakutwangia.
Ukipata muda karibu ujibu hoja za bandiko hili.

Asante
P
 
Braza P neno la Mwenyekiti ni sheria.

Ndo mana wengine huwa hatushangazwi na chochote kuhusu maamuzi ya Mh. Raisi.

Tushangazwe kwani chama gani kina jipya na ayafanyayo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Pascal Mayalla, I think you are missing the point here. Mbowe hana haja ya kuchukua madaraka Tanzania....yeye anataka abakie kuwa mpinzani mkuu tu. Wewe umeona wapi mtu kila chaguzi mbinu zake ni zile zile tu, hana hili wala lile, anaridhika na kula ruzuku. Hakika hapa Tanzania hakuna chama kilicho na msimamo ikiwa wote viongozi wao ni wale wale tuwajuao, kelele nyingi ila zero actions na plans.
 
Hakuna mwaka ambao Chadema imeparanganyika kama huu mwaka wataishia asilimia 20 mpka 30 tu za kura URAIS
 
Hivi Braza uliingia lini CCM na Ni vikolombwezo gani,vilikukorombezwa ukakorombozweka kujiunga !?
 
Nakuchukia Sana kwasasa wewe jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…