CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuD
20220629_152746.jpg
 
Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
@Erythrocyte Katika ubora wake. Leo umekuja mweyewe og.
 
Kwani mlifanyaje Mbowe akaachiwa na Mama?

Mama yako hakumuachia Mbowe kwa kupenda, bali hakukuwa na kesi zaidi ya siasa za kumkomoa. Na kwa kwakuwa mahakama zetu zimegeuzwa sehemu ya siasa chafu za kukomoana, ndio ukaona ule upuuzi uliokuwa unaendelea mahakamani.
 
Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Wapumbavu mnaongezeka Kwa kasi sana huko CCM
 
Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499

Mikutano ipo kisheria, Raisi kashasema iruhusiwe… tatizo msajili wa vyama kajiingiza bila sababu na Polisi nao lakini nashangaa Raisi alishasema mikutano ruksa sasa nani anazuia?
 
Pambalu,hakuna Sheria inayokataza mikutano Kwa mujibu WA katiba ya tanzania
Kumbuka CDM ni chama, kina wafuasi ambao ni wananchi. Rais ni mwajiriwa wa wananchi kupitia sanduku la kura. Ni katika nchi zenye uhaba wa demokrasia tu unapoweza kukutana na kauli kama yako, mtawala hawajibiki, hawajibishwi na wananchi.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Hakuna mwenyekiti wa umija wa vijana legelege kama pambalu sijawahi kuona umija wa vijana wakiongozwa na kijana legelege hivyo huyu ni muoga ajabu alilala mahabusu mwanza siku Moja tu wajanja wakamtishia kumla 0713 basi alipotika alikimbia hata kwenye kesi za mbowe akawa haendi anajifanya ana ziara za kutembelea wafungwa hafai
 
Jiulize, wanao wakataza wanasiasa wa upinzani kufanya mikutanoeg polisi na wakuu wa mikoa, wanatumia sheria ipi? Na kama wanavunja sheria, mbona hawachukuliwi hatua?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama ni ruhusa kwanini wanaogopa siwaende wakafanye hiyo mikutano kitakachowakuta wasimlaumu mtu
 
Mama yako hakumuachia Mbowe kwa kupenda, bali hakukuwa na kesi zaidi ya siasa za kumkomoa. Na kwa kwakuwa mahakama zetu zimegeuzwa sehemu ya siasa chafu za kukomoana, ndio ukaona ule upuuzi uliokuwa unaendelea mahakamani.
Ma hakuwa na kesi kwanini mlikuwa mnawatuma kina ziti na watu wa dino wakamuombee msamaha kwa rais
 
Mikutano ya Kisiasa siyo utashi wa Rais ni kwa mjibu wa sheria.
Akili zako finyu unajua ni utashi wa Rais. Kuzuia mikutano ya kisiasa ni ukiukwaji wa katiba. LABDA tu kama kuna hali ya hatari.
 
Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
wapo sahihi maana ipo kikatiba na sio hisani ya rais
 
Ma hakuwa na kesi kwanini mlikuwa mnawatuma kina ziti na watu wa dino wakamuombee msamaha kwa rais

CDM walisema tena wazi hadharani kuwa Mbowe hana kesi bali anakomolewa. Hao akina ZITI na watu wa DINO, sijui ndio kina nani?!
 
Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Chadema ni part ya wananchi

Na last time I checked,wananchi wa aina yeyote wana haki ya kumlazimisha rais afanye wanataka as long as ni within Katiba.

Sasa wewe unadhani Chadema ni foreign citizens labda?
 
CDM walisema tena wazi hadharani kuwa Mbowe hana kesi bali anakomolewa. Hao akina ZITI na watu wa DINO, sijui ndio kina nani?!
Chadema walisema? Tangu lini wamekuwa mahakimu au majaji mpaka wasene mbowe Hana kesi? Yaani umelala ukaota unakuja kuandika jf huo ni utoto unaofanya
 
Mleta mada umetumia neno “mandate” hovyo. Rais hana mamlaka ya kuzuia shughuli halali za wananchi isipokuwa kwa presidential decree na unaweza kukuta decree hii ilitolewa jukwaani kwa maneno kwa sababu tu za kisiasa wala si za kiusalama. Hapo ni kama tungekuwa na mahakama huru!!

Kuthibitisha hili lilikuwa jambo la JPM na CCM, hutakuta sheria iliyopitishwa na Bunge kuzuia jambo hili. JPM alisema “tumemaliza uchaguzi, sasa tufanye kazi”. Chinichini Polisi wakaambiwa mikutano isiwepo!! Polisi ndio inayozuia mikutano. Ndio inayoandika barua inapoombwa kutoa ulinzi kwenye mikusanyiko. Hata vyama vya upinzani vilipokuwa vikifanya mikutano ya ndani (isiyohitaji taarifa kwa Polisi wala ulinzi), Polisi bado walikuja kuizuia.

Kuwa mkweli wa nafsi!!
 
Chadema walisema? Tangu lini wamekuwa mahakimu au majaji mpaka wasene mbowe Hana kesi? Yaani umelala ukaota unakuja kuandika jf huo ni utoto unaofanya

CDM hawasubiri kuambiwa kitu na mahakama za CCM. Wao CDM wanaongea ukweli ulivyo na sio porojo za mahakama kwenye kesi za mchongo.
 
Back
Top Bottom