CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

Lack of wisdom

"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu

https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Na wewe huna mandate ya kuwaambia Chadema nini wasifanye na nini wafanye. Mbona idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi kubwa sana huko CCM?
 
Yaani kabisa mtu na akili zake anakaa chini kumsikiliza huyo jamaa.
 
Kuna watu humu Mancini mchana kutwa bila kutaja Chadema wanaweza kufa.
Mikutano ya kisiasa imekatazwa kwa sheria gani ? Mbona ccm wanafanya? Wao ni kina nani? Tuache unafiki tukiwa wadogo kama huyu mpandisha uzi
 
Back
Top Bottom