Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
@Erythrocyte Katika ubora wake. Leo umekuja mweyewe og.Lack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu
https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Kwani mlifanyaje Mbowe akaachiwa na Mama?
Wapumbavu mnaongezeka Kwa kasi sana huko CCMLack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu
https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Lack of wisdom

Kumbuka CDM ni chama, kina wafuasi ambao ni wananchi. Rais ni mwajiriwa wa wananchi kupitia sanduku la kura. Ni katika nchi zenye uhaba wa demokrasia tu unapoweza kukutana na kauli kama yako, mtawala hawajibiki, hawajibishwi na wananchi.Pambalu,hakuna Sheria inayokataza mikutano Kwa mujibu WA katiba ya tanzania
Jiulize, wanao wakataza wanasiasa wa upinzani kufanya mikutanoeg polisi na wakuu wa mikoa, wanatumia sheria ipi? Na kama wanavunja sheria, mbona hawachukuliwi hatua?Pambalu,hakuna Sheria inayokataza mikutano Kwa mujibu WA katiba ya tanzania
Hakuna mwenyekiti wa umija wa vijana legelege kama pambalu sijawahi kuona umija wa vijana wakiongozwa na kijana legelege hivyo huyu ni muoga ajabu alilala mahabusu mwanza siku Moja tu wajanja wakamtishia kumla 0713 basi alipotika alikimbia hata kwenye kesi za mbowe akawa haendi anajifanya ana ziara za kutembelea wafungwa hafaiLack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu
https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Kama ni ruhusa kwanini wanaogopa siwaende wakafanye hiyo mikutano kitakachowakuta wasimlaumu mtuJiulize, wanao wakataza wanasiasa wa upinzani kufanya mikutanoeg polisi na wakuu wa mikoa, wanatumia sheria ipi? Na kama wanavunja sheria, mbona hawachukuliwi hatua?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ma hakuwa na kesi kwanini mlikuwa mnawatuma kina ziti na watu wa dino wakamuombee msamaha kwa raisMama yako hakumuachia Mbowe kwa kupenda, bali hakukuwa na kesi zaidi ya siasa za kumkomoa. Na kwa kwakuwa mahakama zetu zimegeuzwa sehemu ya siasa chafu za kukomoana, ndio ukaona ule upuuzi uliokuwa unaendelea mahakamani.
wapo sahihi maana ipo kikatiba na sio hisani ya raisLack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu
https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Ma hakuwa na kesi kwanini mlikuwa mnawatuma kina ziti na watu wa dino wakamuombee msamaha kwa rais
Chadema ni part ya wananchiLack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu
https://t.co/AMIYAHpOuDView attachment 2276499
Chadema walisema? Tangu lini wamekuwa mahakimu au majaji mpaka wasene mbowe Hana kesi? Yaani umelala ukaota unakuja kuandika jf huo ni utoto unaofanyaCDM walisema tena wazi hadharani kuwa Mbowe hana kesi bali anakomolewa. Hao akina ZITI na watu wa DINO, sijui ndio kina nani?!
Chadema walisema? Tangu lini wamekuwa mahakimu au majaji mpaka wasene mbowe Hana kesi? Yaani umelala ukaota unakuja kuandika jf huo ni utoto unaofanya