CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

Na wewe huna mandate ya kuwaambia Chadema nini wasifanye na nini wafanye. Mbona idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi kubwa sana huko CCM?
 
Yaani kabisa mtu na akili zake anakaa chini kumsikiliza huyo jamaa.
 
Kuna watu humu Mancini mchana kutwa bila kutaja Chadema wanaweza kufa.
Mikutano ya kisiasa imekatazwa kwa sheria gani ? Mbona ccm wanafanya? Wao ni kina nani? Tuache unafiki tukiwa wadogo kama huyu mpandisha uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…