Mushi Masawe
Member
- Mar 31, 2020
- 13
- 13
Hata iweje na matarumbeta au nini hatumtaki tu.
Utaona kwa macho yako mwezi october mtarudi kupiga mziki.Eti Mushi Massawe. Acha propaganda za kifala mkuu. Kwasasa siasa ni corona.
Tarumbeta a.k.a misukule ya DJ
Hutaki aitwe Mushi Massawe ulitaka aitwe Masanja Chacha au?Eti Mushi Massawe. Acha propaganda za kifala mkuu. Kwasasa siasa ni corona.
Sina ujinga huo! Inaonekana ndiyo mtindo wako huo!Usikute ni sidekick yako hiyo id. Labda unadhani kwamba ukitumia majina utaaminika zaidi.
Mkuu hiyo ni ID tu isikupe shida!Hatuna Mushi Masawe. Pia hatuna neno ukabila.
Haya yanaonyesha hii account ni fake.
Tatizo ccm kilimanjaro haitimizi wajibu wao. Imetekwa na wenye njaa wanaojitokeza dakika za mwisho.
Kila kata ina changamoto zake lakini mpaka sasa hakuna mdau mwenye nia aliyefanya lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili iweje. We uko kazini usijifananishe na mimi.Sina ujinga huo! Inaonekana ndiyo mtindo wako huo!