The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Mbowe na busara na msimamo wake umewachanganya upande wa pili.. Huyu utakuta ni Bashite kwa sababu anamnyima usingizi sana--Ulichokosea cha kwanza ni kujiita Mushi Masawe baada ya kufungua id mpya. Hakuna mtu ana surnames mbili.
Pili, haingii akilini mtu ambae hamumtaki anakuumiza kichwa hadi umemfungulia id mpya! Kitendo cha kujiita Mushi Masawe ni kuwa unataka kupambana na Mbowe na una lengo la kujifanya mchaga
Tatu, aliyejenga daraja la wami ni serekali na si Magufuli na juu ya yote ni kazi na wajibu wa serekali kujenga madaraja na barabara na sio privilage kwako ndugu. Wasingejenga ndio una haki kulaumu na si wakijenga, sawa?