Uchaguzi 2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Nadhani wewe ndio utapiga kura kwa niaba ya wananchi wa majimbo yote tumia akili japo kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Duu!!! Jee huu ndiyo mwanzo wa upepo wa kisulisuli???? Nauliza Tuu.
 
Kwanza wewe sio wa Kilimanjaro. Mwambie mama yako akueleze ukweli baba yako wa Kibiolojia na si huyo mlezi. Hakuna Mchaga anaeshangilia treni wakati ilikuwepo toka enzi za ukoloni. Pili treni hiyo imeongeza ajira Kilimanjaro?? Tatu maisha sio siasa tu. Kuna maisha bora zaidi ya unavyofikiri kulingana na umri wako na pia uwezo wako wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
w
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
wakati unayasema hayo jiulize ww umelifanyia nn Taifa lako
 
Back
Top Bottom