Uchaguzi 2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

Wewe ndo mgawaji wa majimbo? Halafu huwa najiuliza,toka tupate Uhuru mpaka mfumo wa vyama vingi unaanzishwa majimbo yote yalikuwa chini ya chama gani? Je,kuwa na chama kimoja ndo maendeleo huja haraka? Muda Fulani tujaribu kupevuka kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu ambaye nchi ipo kwenye korona epidemic yeye yupo anapiga picha kwenye mawe unategemea kichwa chake kiwe na nini?si TABULA RASA?
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Naomba umuache kamanda wetu bado yupo jera la corona!
 
Mwambie aangalie Tbc aone jinsi CCM inavyofanya kazi ndio maana hatutaki ujinga. Ukweli tutaiusema na ukabila hatutaki.
Mkuu kuondoa ukabila Ni ngumu, walioanzisha ukabila wanafahamika, nyie ndugu zenu wanajua, kila kitu kilikuwa kaskazini.Leo unafiki mnamwaga hapa.
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
We Nani kwani

Jana ndio umepata ajira lumumba na kujiunga na jf jana hiyo hiyo. Polepole anaajiri wajinga wamsaidie kisa tu wawe ni wasukuma
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Kwani CHADEMA ilishapewa nchi ikashindwa kufanya hayo uliyoyataja?Ni CHADEMA waliozuia treni msiione kwa miaka mingi?Nyie ndio wale Lumumba buku 7 ambao anawasema Mzee Tupatupa,mnakufa na tai shingoni!
 
Moja kati ya zile ID zako uchwara, au sio!?
Nyie mccm mbona mnaangaika Sana na kutumia nguvu nyingi za kipropaganda dhidhi ya chadema?ivi hayo maendeleo yanayosifiwa yamefanywa na CCM mbona huku kwetu hatuyaoni na madiwani,wabunge wote ni wanaccm?
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Mushi Masawe sisi tutachagua Chadema mamaa angu. We na wasukuma wenzio chagueni magu na Bashite

IMG_20200401_145911.jpg
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Kwamba wachaga mmesaliti chama cha nyumbani ?
 
Back
Top Bottom