Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Hata baada ya kifo maisha ya kawaida lazima yaendelee.MKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Ulitaka afe nani ndio useme ana bahati nzuri.ingawa hii imetokea kama bahati mbaya,ila kiukweli lissu ana bahati mbaya.
hiyo jtatu tunaiingiza kwenye siku za maombolezo kitaifa,jifanye unawashwa nyanyua kongoro zako nyumbani kwenu[emoji38][emoji38][emoji38].
hakutakiwa afe mtu,kimsingi.Ulitaka afe nani ndio useme ana bahati nzuri.
kwani alishawahi kukemea au kusemea kuhusu kupigwa risasi lissu? kama hakuwahi atakua sio kiongozi Wa kitaifaMKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
"Hatutaki"MKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Kifo ni kifo tu mkuu na watu wanakufa kila siku.hakutakiwa afe mtu,kimsingi.
ila aliyekufa ni kiongozi wa kitaifa.
ndio sababu nikaandika kama asingekuwa mtu maarufu wala isingekuwa tatizo na ujio wa lissu,but ndio hivyoKifo ni kifo tu mkuu na watu wanakufa kila siku.
kwanza huyo ni hayati si marehemu kama mbuzi akufananiayeMKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Labda awe rais wa TBLKwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu?
CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.
Tulieni jamani CCM.
Kuna matukio mengine hayahitaji kuhusisha na vitu vingine.ndio sababu nikaandika kama asingekuwa mtu maarufu wala isingekuwa tatizo na ujio wa lissu,but ndio hivyo
Rais wa TFF au TLCKwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu????
CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.
Tulieni jamani CCM.