CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

adolay, kwanini umekubali kuwa mnafiki!!!

kujidanganya kunakufanya ujisikie raha sekunde chache sana,baada ya hapo ni maumivu tena.unadhani wamekufa watu wangapi usiku wa leo???kwanini msiba maarufu ni wa mtu mmoja??
 
Kuna matukio mengine hayahitaji kuhusisha na vitu vingine.

Kwa nini basi usiseme mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM unamkosi, au uchaguzi mkuu kwa CCM safari hii umekuja na bahati mbaya watashindwa kwa sababu wamefiwa na mkiti wao mstaafu.
ni mimi niliandika kuhusu bahati mbaya kwa ujio wa mh lissu,kuhusu mchakato wa kura za maoni sikutaja, lakini haina maana kwamba huko ni saf kabisa.nako kuna madhara yatatokea.
 
MKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Jamaa wa ajabu sana wewe

Kumpokea Lissu kuna uhusiano gani na mtu huzunikia kifo?

Hii itakua ni wake up call kwa mawe kwamba ubabe woote anaotufanyia kuna kukata kamba kama boss wake..

Na trust me,it was corona..

Mawe is the matter of time tu atakata kamba kama sisi wanadamu wengine.

Airport nitaenda mpokea ndugu yangu Lissu...nobody cares about sijui nani na nani kafa..

Wafe kama sisi
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.

Huyo alikuwa rais wa ccm, kuna mahusiano gani na cdm?
 
kwanini umekubali kuwa mnafiki!!!

kujidanganya kunakufanya ujisikie raha sekunde chache sana,baada ya hapo ni maumivu tena.unadhani wamekufa watu wangapi usiku wa leo???kwanini msiba maarufu ni wa mtu mmoja??

Floyd ana umashuhuri gani..... mbona dunia nzima inamuadhimisha kwa mauwaji yake kiuonezi....... Tukio la Tundu Lisu?

1. Lisu alipopigwa lisasi ulitowa wito wowote kulaani? Au kushikwa wauwaji?

2. Ulisikia kiongozi yeyote kulaani kitendo cha Lisu kupigwa risasi? Wastaafu wote walinyamaza......je floyd na Lisu nani muhim kwetu?

3. Utu hupimwa kwa thamani ya uhai kwa kila mwadamu..... Je utu wetu tulionesha vipi wakati Lisu anamiminiwa risasi

Kifo kipo utakufa, nitakufa, kila mmoja atakufa. Kipi cha ajabu?
 
adolay,

Kifo kipo utakufa, nitakufa, kila mmoja atakufa. Kipi cha ajabu?[/QUOTE]

mkuu samahani kama una stress za maisha,ama una matatizo yoyote ya kifamilia usininukuu tena.

wapi nimesema mimi sitakufa au wewe hutakufa!!!!sijui kama unaelewa hata unachokisoma zaidi ya kukurupuka tu!!!
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Mbona mchakato wa wagombea unaendelea huko sisiemu, na hadi jana usiku kabisa kura zilikuwa zinaendelea kuhesabiwa live?
 
Mkapa kama kongozi mstaafu alikaa kimya hata pale TL aliposhambuliwa

Mkapa siyo kiongozi wa Taifa, alikuwa ! na atapewa heshima hizo kama ilivyo

Katika nchi huru watu hutenda kwa uhuru wakiongozwa na busara zao.

Hakuna sheria inayoongoza nini watu wafanye katika maisha yao ilimradi hawakiuki sheria za nchi
Na ccm inawapotezea sana marais wastaafu sifa za kiongozi wa kitaifa Kwa kuegemea kwenye ujinga na kuutetea. Yuko kama la LISU watu kupotea wap kimya hata kukemea wanashindwa. Utasema kiongozi wa taifa hapo?. Na hii imewakumba hata baadhi ya kiongozi wa dini pia
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Hili livunja haki za binadam kama bashite liliuwa wazanzibar mwaka 2001 nani analithamanisha labda Lumumba sisi hata hatuna mda nalo shughuliken nalo wenyewe sis tunamaandaliz ya kumpokea mkombozi
 
mkuu samahani kama una stress za maisha,ama una matatizo yoyote ya kifamilia usininukuu tena.

wapi nimesema mimi sitakufa au wewe hutakufa!!!!sijui kama unaelewa hata unachokisoma zaidi ya kukurupuka tu!!!

So why suggestion to stop people to witness Tundu Lisu arrival

Kifo kipo sio ajabu
 
ingawa hii imetokea kama bahati mbaya,ila kiukweli lissu ana bahati mbaya.

hiyo jtatu tunaiingiza kwenye siku za maombolezo kitaifa,jifanye unawashwa nyanyua kongoro zako nyumbani kwenu[emoji38][emoji38][emoji38].
Unataka kusema amezimishwa ili kuzima mapokezi? Au nimekuelewa vibaya.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Imeisha hiyo,wacha wafu wazikane.
Lissu ni mpango wa Mungu
 
mkorinto,

Kumbe kupokea ndege ndio ajabu?

However kumpokea mtanzania alieumizwa kwa shehena ya risasi na amenusurika mauti sio ajabu kwako?
 
Mbona Una wasi was mkuu Nan ataandamana chadema unawajua unawasikia ngoja siku ifike ndio utajua kua hawajui Mana vwataenda kwenye maandamano na kujikuta wao Kama wao hawafik hata Mia alafu police wapo Mia 50 na magar na vitungu watazuga tu Kama vile wameenda kupokea wapendwa wao wengine na Sio lisu
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
 
msege,
Tulia ndugu. Punguza hasira, jiandae tu huyo ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
 
adolay, kumbe unaandika kwa kuangalia nani yuko upande wako!!!

mimi naandika hali halisi siko hapa kukufurahisha wewe na wengine.kama mnachukia au mnapata matatizo ya moyo hiyo mimi si kazi yangu,kajipeni raha kwa namna yenu nyingine sio hapa.

halafu usipende shida zako zikuendeshe,utakuwa na stress muda wote kama wewe hapa,unatukana tu hoja.....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumbe kupokea ndege ndio ajabu?

However kumpokea mtanzania alieumizwa kwa shehena ya risasi na amenusurika mauti sio ajabu kwako?
ajabu ya nini sasa,kwani hujui kama lissu anakuja jtatu or whatever!!!!but msiba haukuwepo kwenye mipango yetu au nadanganya????
 
Back
Top Bottom