CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

Kwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu????

CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.

Tulieni jamani CCM.
Mwambieni atue na ndege pale ufipa, jnia iko bize na wageni wa nje. Mkampokee hapo
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.

Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Amina.
Wewe Kama nani
 
Swadakta....

Huwenda wakawa pia na KOLABO na Yale ya wanafunzi wa VYUO kuelekea BODI YA MIKOPO......

Tuko msibani kwa siku 7....
 
Back
Top Bottom