CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

adolay,

Kifo kipo utakufa, nitakufa, kila mmoja atakufa. Kipi cha ajabu?

mkuu samahani kama una stress za maisha,ama una matatizo yoyote ya kifamilia usininukuu tena.

wapi nimesema mimi sitakufa au wewe hutakufa!!!!sijui kama unaelewa hata unachokisoma zaidi ya kukurupuka tu!!!
 
Na ccm inawapotezea sana marais wastaafu sifa za kiongozi wa kitaifa Kwa kuegemea kwenye ujinga na kuutetea. Yuko kama la LISU watu kupotea wap kimya hata kukemea wanashindwa. Utasema kiongozi wa taifa hapo?. Na hii imewakumba hata baadhi ya kiongozi wa dini pia

SWADAKTA !!!!
 
Huna hoja wewe "taga" wa lumumba
Kwani mgombea urais chadem ni nani 2020[emoji16][emoji16]

Maana lissu anafahamika zaidi mbele kuliko hapa tz,hata jimboni kwak wameshamsahau.
 
Kwa sasa Taifa la Tanzania lipo katika siku 7 za maombolezo ya aliyekuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Mh. BENJAMIN MKAPA.

Aidha, Taifa likiwa katika hali hiyo, Chama Cha Demokrtasia na Maendeleo (CHADEMA) Kinashauriwa kutopinyeza Viashiria vyovyote

vya uvunjifu wa amani, wakati wa maandalizi yao ya kumpokea lissu.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.

Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Amina.

Kama wanataka kufanya mapokezi waachen ban labda msiba haujawagusa kwan ww kila anaefariki mtaani kwako hua unakwenda au hua hufanyi mamb yako?
 
Ulipo mmiminia risasi ulidhani atakufa ili asahulike jimboni kwake?
kwani mgombea urais chadem ni nani 2020[emoji16][emoji16]

maana lissu anafahamika zaidi mbele kuliko hapa tz,hata jimboni kwak wameshamsahau.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.

Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Amina.
Wewe nenda msibani, wengine nao wakampokee mgeni wao. Maisha yaendelee pande zote
 
Kama wanataka kufanya mapokezi waachen ban labda msiba haujawagusa kwan ww kila anaefariki mtaani kwako hua unakwenda au hua hufanyi mamb yako?
Umemweleza ukweli. Hapa nilipo kuna msiba mahali fulani. Lakini nitakwenda nikimaliza majukumu yangu. Mbona kuoangiana ratiba?
 
Lisu ni nani kwenye taifa hili?
Kwanini asipokelewe na wanafamilia wake (mke na watoto wake)
Na nyie acheni familia na ndugu wa karibu wa marehemu waomboleze hamjalazimishwa..au mnajipendekeza?

Kila mtu na maamuzi yake.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.

Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Amina.

Mungu amlaze mzee Mkapa mahali pema lakini kama watu wana haki ya kumpokea Lisu wakampokee. Kuomboleza ni hiari ya mtu. Msiba usitumike kama kisingizio cha kuwazuia wengine kutekeleza mambo yao. Kama CHADEMA wakiamua kuachana na mapokezi sawa lakini hakuna sheria inayowakataza kufanya hivyo.
 
Ninachojua mimi ni kuwa katika maisha katika siku moja kuna wanaolia na wanaocheka, wanaokufa na wanaozaliwa. Hivyo ikiwa kuna watakaoenda kwa lissu kufurahia na kushangilia kuja kwake, wengine wataendelea na majonzi ya kiongozi wetu mstaafu Mkapa. Poleni familia na taifa na karibu nyumbani mh. Tundu lissu hongera kwa kupona ingawa huenda watesi wako bado wapo; kuwa makini sana.
 
Kwanza Lissu ni nani kwenye hii nchi?.acha wajaribu kupeleka pua zao pale wapate moto wa kurasini.
 
Back
Top Bottom