CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

Kwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu????

CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.

Tulieni jamani CCM.
Wape salaaaaam mataga wa lumumba.
 
Sio lazima mtu ambaye kwako wewe ni muhimu basi ukataka na wengine wote wawe wana umuhimu kwao....

Mkapa ni binadamu kama wengine,kuna watakosikitika na watakaokua hawana habari nae basi usilazimishe wote waombeleze...
Swali ni je Lissu alipokewa kwa maandamo au na watanzania wengi Hilo linamaanisha kuwa hakuna maombolezo???

Naweza kwenda kumpokea Lissu huku nikiwa namuomboleza mzee mkapa
 
Wao hilo hawalioni
Mkapa kama kongozi mstaafu alikaa kimya hata pale TL aliposhambuliwa

Mkapa siyo kiongozi wa Taifa, alikuwa ! na atapewa heshima hizo kama ilivyo

Katika nchi huru watu hutenda kwa uhuru wakiongozwa na busara zao.

Hakuna sheria inayoongoza nini watu wafanye katika maisha yao ilimradi hawakiuki sheria za nchi
 
Haimzuii kuwania urais na watanzania mamilioni kumchagua kuwa rais wa awamu ya sita baada ya uchaguzi wa October.
ingawa hii imetokea kama bahati mbaya,ila kiukweli lissu ana bahati mbaya.

hiyo jtatu tunaiingiza kwenye siku za maombolezo kitaifa,jifanye unawashwa nyanyua kongoro zako nyumbani kwenu[emoji38][emoji38][emoji38].
 
Kwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu????

CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.

Tulieni jamani CCM.
RIP Mzee. Umetuachia watu ambao ni woga na hawajielewi. Wanataka kutumia umauti wako kunyanyasa wengine. RIP Mzee. Busara zako zitaendelea kudumu.
 
ndio sababu nikaandika kama asingekuwa mtu maarufu wala isingekuwa tatizo na ujio wa lissu,but ndio hivyo
Hakuna tabu mkuu hatutafanya maandamano, bali tutakwenda kimya kimya huku tukiwa na barakoa zetu maana kinga ni bora kuliko tiba
 
Twaiiibuuuuu
Kuna matukio mengine hayahitaji kuhusisha na vitu vingine.

Kwa nini basi usiseme mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM unamkosi, au uchaguzi mkuu kwa CCM safari hii umekuja na bahati mbaya watashindwa kwa sababu wamefiwa na mkiti wao mstaafu.
 
Huna hoja wewe wa lumumba
ni mimi niliandika kuhusu bahati mbaya kwa ujio wa mh lissu,kuhusu mchakato wa kura za maoni sikutaja, lakini haina maana kwamba huko ni saf kabisa.nako kuna madhara yatatokea.
 
Back
Top Bottom