Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi.
Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale Mlimanu City na tulielezwa kuwa hata mkutano wao ulifadhiliwa na watu binafsi kwa kuwa chama hakina hela za kufanya hivyo.
Ni kichekesho sana na mwanzo wa kufeli eti uongozi wa Lissu, unahimiza sasa watu wanunue kadi za uanachama! Hivi wapi duniani kuna chama cha siasa kinaweza kujiendesha kwa kutegemea ada za wanachama? Yaani Mtanzania gani anayeweza kujitoa ufahamu na kununua kadi ya uanachama kwa 500,000/= TZS . Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Huna hela huwezi kufanya siasa wala kuongoza na kuendesha chana na kukiigiza kwenye uchaguzi.
Kauli ya Lissu kuwa " No Reform No Election" ni kauli ya kijinga na ya mwanasiasa ambaye hajitambui Kwa ambao ni wavivu kusoma mambo ni kuwa sheria za uchaguzi zilishabadilishwa na bunge likajadili kwa kina sana na zikapitishwa na sasa ni sheria ndiyo maana hata tume ya uchaguzi ilibadilishwa muundo wake na kadhalika. kwa hiyo mtu anaposema sijui sheria mpya itungwe ni mlevi tu na mjinga.
Mwisho kabisa ni kuwa Tanzania ina vyama vya siasa vingi kufikia 18 na hivyo wengine wakisusa basi kuna vyama vitashiriki na uchaguzi utafanyika na viongozi watapatikana. Kwani 2019 Chadema si walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kulitokea nini? Mambo si yaliendelea kama kawaida au? kwa hiyo wakisusa uchaguzi wa mwaka huu itaturahisishia sana kazi ya kumalizana nao kwenye uwanja wa kisiasa.