Pre GE2025 CHADEMA hawajajipanga na uchaguzi, njia pekee ya kukwepa aibu ni kugomea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Wewe jamaa kila siku humu unalialia kupigania haki ya wapelestina, sasa Israeli na ccm zina tofauti gani linapokuja jambo la kuzuia haki ya watu wengine?

Wewe si mpigania haki maana mpigania haki siku zote anakuwa upande wa wanaoonewa no matter what

Nimeanza kukudharau
Sasa kwaiyo kushinda kwa Upinzani ndio kupigania Haki!!!! Aki adi upinzani ushinde jamaaa ujaeleweka!!

Palestina wapo na mgogolo wa Ardhi na waisrael vipi ufananishe na kunyimwa haki wapinzani!! wenyewe kwa wenyewe wananyimana Haki!! iyo AKI adi CCM iyanguke ndio ujue wamepewa haki!!!!!
 
Sasa unasajili chama ukitumie kuchangisha pesa za nyumbu!! sio kukitumia kwenye uchaguzi!!! Naona wale wanaotaka kuamia Chadema wakune kichwa vizuli!!!!
Cdm haihitaji makondoo boss, na kushiriki chaguzi za kishenzi ili kuwahalalisha ccm kukaa madarakani, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
View attachment 3216530
Kweli Chadema haijajipanga na haijajipanga kushiriki uchaguzi na kupata ushindi bandia kwa kuweka kura batili kituoni.

Kujipanga kwenyewe kwa CCM ndio huku , kujaza vyombo vya dola na wakurugenzi ili kusimamia kura za kishindo za chama cha majizi?

Kama CCM imejipanga kwanini haitaki fair ground kwa kuundwa upya tume huru ya uchgauzi?
Izo kura za Serikali ya mtaaa katokea kiongozi amnazo m1 na alikamatwa sasa ndio kusema Chadema na wapinzani wote wakaambulia 2%

kisa mtaa m1 CCM 98% visababu visivo na mashiko Polisi walimdaka mtuumiwa makosa yapo lkn sio kwa asilimia kubwa kiasi nyinyi ndio muambulie 2% Wekezeni vijijini ili CCM iyanguke sio kwenye tume!!
 
Kumbe hata video hujaangalia umedandia kutoa reply.

Huo ni uchafuzi mkuu October 2020 jimbo la Kawe.
 
Cdm haihitaji makondoo boss, na kushiriki chaguzi za kishenzi ili kuwahalalisha ccm kukaa madarakani, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
CCM ipo itakuwepo ata ukisusa Kenya Raila alisusa uchaguzi aukufanyika Zanzibar Je.
vizuli mkisusa ila msizuiye tu wananchi kwenda kwenye uchaguzi vyama vipo vingi maisha yataendelea

CCM aijawai kusubili kuhalalishwa na Chadema kazi kwanu kama mtamsikiliza Lisu!
 
Kumbe hata video hujaangalia umedandia kutoa reply.

Huo ni uchafuzi mkuu October 2020 jimbo la Kawe.
Kweli sijaona adi mwisho!!! Bado ni Mbunge CCM inawabunge mamia wabunge nao nikama Serikali za mitaa wanajiongeza ata ungekuwa ww ungejiongeza kama kuna fursa!!!!
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi.
Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale Mlimanu City na tulielezwa kuwa hata mkutano wao ulifadhiliwa na watu binafsi kwa kuwa chama hakina hela za kufanya hivyo.

Ni kichekesho sana na mwanzo wa kufeli eti uongozi wa Lissu, unahimiza sasa watu wanunue kadi za uanachama! Hivi wapi duniani kuna chama cha siasa kinaweza kujiendesha kwa kutegemea ada za wanachama? Yaani Mtanzania gani anayeweza kujitoa ufahamu na kununua kadi ya uanachama kwa 500,000/= TZS . Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Huna hela huwezi kufanya siasa wala kuongoza na kuendesha chana na kukiigiza kwenye uchaguzi.

Kauli ya Lissu kuwa " No Reform No Election" ni kauli ya kijinga na ya mwanasiasa ambaye hajitambui Kwa ambao ni wavivu kusoma mambo ni kuwa sheria za uchaguzi zilishabadilishwa na bunge likajadili kwa kina sana na zikapitishwa na sasa ni sheria ndiyo maana hata tume ya uchaguzi ilibadilishwa muundo wake na kadhalika. kwa hiyo mtu anaposema sijui sheria mpya itungwe ni mlevi tu na mjinga.

Mwisho kabisa ni kuwa Tanzania ina vyama vya siasa vingi kufikia 18 na hivyo wengine wakisusa basi kuna vyama vitashiriki na uchaguzi utafanyika na viongozi watapatikana. Kwani 2019 Chadema si walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kulitokea nini? Mambo si yaliendelea kama kawaida au? kwa hiyo wakisusa uchaguzi wa mwaka huu itaturahisishia sana kazi ya kumalizana nao kwenye uwanja wa kisiasa.
 
Attachments

  • IMG-20250126-WA0010.jpg
    IMG-20250126-WA0010.jpg
    206.9 KB · Views: 2
Kataka Office kapewa Lisu asietaka pesa za Abdur sasa muwe tayali kuchangia chama!! Kadi tsh 500,000 !!!!
 
Sasa kwaiyo kushinda kwa Upinzani ndio kupigania Haki!!!! Aki adi upinzani ushinde jamaaa ujaeleweka!!

Palestina wapo na mgogolo wa Ardhi na waisrael vipi ufananishe na kunyimwa haki wapinzani!! wenyewe kwa wenyewe wananyimana Haki!! iyo AKI adi CCM iyanguke ndio ujue wamepewa haki!!!!!
Acha upotoshaji wa kijinga, nani amekuambia hadi ccm ianguke ndio haki imetendeka? Hatuna tatizo na mshindi, tuna tatizo na jinsi mshindi anavyopatikana. Juzi uchaguzi wa cdm umeonyesha ni jinsi gani uchaguzi wa haki unapaswa kuwa.
 
Kweli sijaona adi mwisho!!! Bado ni Mbunge CCM inawabunge mamia wabunge nao nikama Serikali za mitaa wanajiongeza ata ungekuwa ww ungejiongeza kama kuna fursa!!!!
Kwahiyo wewe wizi fursa kwako?
 
Kataka Office kapewa Lisu asietaka pesa za Abdur sasa muwe tayali kuchangia chama!! Kadi tsh 500,000 !!!!
Hakuna tatizo hata milioni, lakini tuwe na uhakika wa matumizi. Sisi sio mafamba wa kutawaliqa na mtu mmoja kwa 20+yrs.
 
CCM ipo itakuwepo ata ukisusa Kenya Raila alisusa uchaguzi aukufanyika Zanzibar Je.
vizuli mkisusa ila msizuiye tu wananchi kwenda kwenye uchaguzi vyama vipo vingi maisha yataendelea

CCM aijawai kusubili kuhalalishwa na Chadema kazi kwanu kama mtamsikiliza Lisu!
Ni kweli, ccm inasubiri kuhalalishwa na vyombo vya dola.
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi.
Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale Mlimanu City na tulielezwa kuwa hata mkutano wao ulifadhiliwa na watu binafsi kwa kuwa chama hakina hela za kufanya hivyo.

Ni kichekesho sana na mwanzo wa kufeli eti uongozi wa Lissu, unahimiza sasa watu wanunue kadi za uanachama! Hivi wapi duniani kuna chama cha siasa kinaweza kujiendesha kwa kutegemea ada za wanachama? Yaani Mtanzania gani anayeweza kujitoa ufahamu na kununua kadi ya uanachama kwa 500,000/= TZS . Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Huna hela huwezi kufanya siasa wala kuongoza na kuendesha chana na kukiigiza kwenye uchaguzi.

Kauli ya Lissu kuwa " No Reform No Election" ni kauli ya kijinga na ya mwanasiasa ambaye hajitambui Kwa ambao ni wavivu kusoma mambo ni kuwa sheria za uchaguzi zilishabadilishwa na bunge likajadili kwa kina sana na zikapitishwa na sasa ni sheria ndiyo maana hata tume ya uchaguzi ilibadilishwa muundo wake na kadhalika. kwa hiyo mtu anaposema sijui sheria mpya itungwe ni mlevi tu na mjinga.

Mwisho kabisa ni kuwa Tanzania ina vyama vya siasa vingi kufikia 18 na hivyo wengine wakisusa basi kuna vyama vitashiriki na uchaguzi utafanyika na viongozi watapatikana. Kwani 2019 Chadema si walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kulitokea nini? Mambo si yaliendelea kama kawaida au? kwa hiyo wakisusa uchaguzi wa mwaka huu itaturahisishia sana kazi ya kumalizana nao kwenye uwanja wa kisiasa.
Punguza mihemko kijana. Lissu ni taasisi vile vile kama alivyo mwenyekiti wa chama chako cha mufilisi "Sameer ". Unaongea pumba tu! Bassirou Diomaye Faye amekuwa Rais wa Senegal kwa sababu chama chake kilikuwa na billions of whatever currency??$...
Tanzania haimilikiwi na chama chochote cha siasa. #Rudi tena shule!
 
Sasa kwaiyo kushinda kwa Upinzani ndio kupigania Haki!!!! Aki adi upinzani ushinde jamaaa ujaeleweka!!

Palestina wapo na mgogolo wa Ardhi na waisrael vipi ufananishe na kunyimwa haki wapinzani!! wenyewe kwa wenyewe wananyimana Haki!! iyo AKI adi CCM iyanguke ndio ujue wamepewa haki!!!!!
Wapi nimesema wapinzani wakishinda ndi kunakuwa na haki? Kinachotakiwa uchaguzi huwe wa haki, mtu akishinda ashinde kwa haki vile vile atakayeshindwa ashindwe kwa haki
 
Huna Mbunge hata mmoja, unadai reforms? una akili kweli?

Siasa ni mchakato na tukio. Yani, ili upate reforms mnazotaka, lazima kwanza mshinde serikali, kisha pelekea hoja Bungeni ufanye mabadiliko unayotaka.

Watanzania zaidi ya asilimia 95 wana amani na hawana hofu na mfumo uliopo na walishiriki pia kutoa maoni yao.

Inashangaza sana kuona chama kinachojiita cha Demokrasia hakielewi mchakato wa Kidemokrasia.

Lissu anakipeleka hiki chama kubaya sana na huu, ndio utakuwa mwisho wa Chadema kwenye siasa za Tanzania.
 
Punguza mihemko kijana. Lissu ni taasisi vile vile kama alivyo mwenyekiti wa chama chako cha mufilisi "Sameer ". Unaongea pumba tu! Bassirou Diomaye Faye amekuwa Rais wa Senegal kwa sababu chama chake kilikuwa na billions of whatever currency??$...
Tanzania haimilikiwi na chama chochote cha siasa. #Rudi tena shule!
Huna Mbunge hata mmoja, unadai reforms? una akili kweli?
 
Chadema ya Maria Sarungi.
HIZI SI HARAKATI NI UPUMBAVU

Kiwango cha ujinga cha huyu mtu ni kikubwa sana na hakiwezi kufikiwa na mjinga yoyote duniani.

Yaani AfDB na mkutano wa nishati wanahusika nini na mambo ya Dokta Slaa? Yaani Dokta Slaa si amefanya makosa na yuko mahakamani sasa unataka mkutano ulaani kuwekwa jela kwa Dokta Slaa?

Watanzania unaosema wamekuwa grounded wewe unawasemea kama nani? Mtanzania gani kalalamika kuwa hataki kukaa nyumbani?
 
Huna Mbunge hata mmoja, unadai reforms? una akili kweli?

Siasa ni mchakato na tukio. Yani, ili upate reforms mnazotaka, lazima kwanza mshinde serikali, kisha pelekea hoja Bungeni ufanye mabadiliko unayotaka.

Watanzania zaidi ya asilimia 95 wana amani na hawana hofu na mfumo uliopo na walishiriki pia kutoa maoni yao.

Inashangaza sana kuona chama kinachojiita cha Demokrasia hakielewi mchakato wa Kidemokrasia.

Lissu anakipeleka hiki chama kubaya sana na huu, ndio utakuwa mwisho wa Chadema kwenye siasa za Tanzania.
Huna akili na unatia aibu
 
Acha upotoshaji wa kijinga, nani amekuambia hadi ccm ianguke ndio haki imetendeka? Hatuna tatizo na mshindi, tuna tatizo na jinsi mshindi anavyopatikana. Juzi uchaguzi wa cdm umeonyesha ni jinsi gani uchaguzi wa haki unapaswa kuwa.
Kura elfu 1 zimeesabiwa kwa masaaa mangapi watu awajalala siku nzima ndio Uchaguzi wa haki!!

Watu wote waliopiga kura wamebaki macho usiku mzima hiii ndio haki

tuje Uchaguzi Serikali za mitaa chini ya mkurugenzi wa Jiji mitaa + vijiji vituo vimefugwa saa 11 jioni kufika saa mbili au seem nyengine saa3 usiku matokeo tayali

nyie CHADEMA kura buku watu wamekesha macho!!!! Alafu nyie eti ndio muifundishe Serikali namna ya kusimamia Uchaguzi Mkija kusimamia uchaguzi wa jimbo tu
tutegemee Matokea baada ya siku ngapi!!!!!!
 
Back
Top Bottom